Pasi ya kijerumani

Pasi ya kijerumani

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,245
Reaction score
7,723
Kwa wale wanaopenda vitu vya kizamani hapa ndo penyewe. Kuna pasi ya kizamani ya kijerumani inatumia mionzi ya jua
 
Ipo wapi hiyo pasi..,,,,,?.....
 
Kwa wale wanaopenda vitu vya kizamani hapa ndo penyewe. Kuna pasi ya kizamani ya kijerumani inatumia mionzi ya jua
Waonyeshe hii faster la sivyo utapigwa ban ujue wewe
1452796452111.jpg
1452796452111.jpg
 
Aliposema inatumia jua alimaanisha unaiweka juani halafu ikipata moto ndiyo unanyoosha nguo
 
Back
Top Bottom