Preta unanifurahishaga sana, unauliza utadhani unaihitaji.Ipo wapi hiyo pasi..,,,,,?.....
Mbona haina solar panel!!Kamanda hiyo inatumia mkaa!!
Preta unanifurahishaga sana, unauliza utadhani unaihitaji.
Nimempa ile akuonyeshe lakini naona pia kashindwaNdio atuonyeshe sasa........
Nimempa ile akuonyeshe lakini naona pia kashindwa
Niletee pasi halisi ya kijerumani kwa 1.2 billion.Kawaida ya hvyo vitu huwezi piga picha na hata ukipiga huwez ona kitu kwenye camera au simu utaona giza tu, sasa mtu akikuletea picha juwa ni muongo anatowa google
Sent using Jamii Forums mobile app