Pasco unaijua nguvu ya Twitter?

nakala kwa Pascal Mayalla
 
Mamlaka ya uteuzi inapenda watu wenye kujitoa ufahamu kutetea ama kutoa hoja zinazowakilisha matumbo yao badala ya kile wanachokiamini ama uhalisia, mifano ni mingi, huyu pia atatazamwa si muda mrefu.
 
Hakuna lolote serkali ikiamua inafunga tu

Nigeria Twitter ilifungwa wiki
Haha unajidanganya hawana uwezo huo, wengi wanachofanya ni kuzuia tu watu washindwe kuipata kwa kutumia mitandao ya nchini, lakini ni rahisi sana kuruka hivo vizuizi.

China imefungia kabisa upatikanaji wa twitter ndani ya mipaka yake lakini wachina bado wanaitumia, na ni kuanzia raia wa kawaida mpaka makampuni makubwa kama CCTV, Huawei,CGTN, mpaka na balozi zao zimo humo humo Twitter.
 
Sijasema Twitter ifungwe, nilichosema ni kuhusu Twitter ni hiki
P
 
Namuona Pascal ana-like tu.

Ila Pascal mzee wangu acha unafiki, simamia kweli. Ww ni senior journalist hutakiwi kuonekana kulitumikia tumbo kama vitoto vya hapa majuzi. Kama kuvuna ulishavuna vya kutosha saivi huna cha kupoteza.
 
Namuona Pascal ana-like tu.

Ila Pascal mzee wangu acha unafiki, simamia kweli. Ww ni senior journalist hutakiwi kuonekana kulitumikia tumbo kama vitoto vya hapa majuzi. Kama kuvuna ulishavuna vya kutosha saivi huna cha kupoteza.
Mkuu Ahmad Abdulrahman,
sijasema Twitter ifungwe, nilichosema ni kuhusu Twitter ni hiki
P
 
Mkuu My Son drink water , nadhani ni busara kufanya update ya bandiko hili kwa kuunganisha post hii Pasco unaijua nguvu ya Twitter?
P
 
Shoka Lipo Shinani
Mti Usiozaa Wakatwa, Shoka Lipo Shinani!
Ajaye Atabatiza Kwa Moto!!
 
Kuna usemi unaosema "ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya", huenda kwa nia nzuri tu ndugu Paskali anataka kudivert akili za watu katika kile kinachojadiliwa na watu wengi hususan kwenye mitandao ambacho ukweli wake umeshatolewa na waziri mkuu. Kuna jambo la muhimu na kuna jambo la muhimu zaidi, tuwaache wale waliyopewa dhamana wafanye kazi zao, nasi tujikite katika kazi zetu za kusukuma gurudumu la taifa. Tuhuma, shutuma na ramli chonganishi hazijengi bali zinabomoa. Sisi ni watanzania na tutabaki kuwa watanzania katika hali zote. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…