IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,316
Jamani mods tunaomba mtupe taarifa huyu nguli wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa amepotelea wapi?
Watu wanatekwa aisee isije kuwa nae wamemteka.
Kipindi hiki kigumu tunahitaji sana uchambuzi wake
Watu wanatekwa aisee isije kuwa nae wamemteka.
Kipindi hiki kigumu tunahitaji sana uchambuzi wake