Tofauti ya kimaendeleo kati yetu Sisi v/s China, Singapore au Malaysia za miaka hiyo ya sitini.
Na tofauti yetu kwa miaka hii ya sasa ikoje?
Miaka hiyo tulikua wote sawa au tuliachana kidogo tu, sasa ikoje?
Wao walikua na nini kutuzidi?
Ukijiuliza hili swali ndio utathubutu kusema tanaendelea?? Au lah!!!!
ni kweli tunahitaji kua na shule ambazo wanafunzi wanakosa madawati na kukaa chini katika karne hii??
Tenda za matangazo wizara zote ameshika yeye !Ushauri wa bure? Hakuna kitu cha bure, mwenzio kesho anakwenda kusign posho
Baada ya miaka 50, nchi ya tatu duniani kwa kupewa misaada, tumepitwa kimaendeleo na hata nchi ya 'Vanuatu' !!?Huyu Pascal anatakiwa atambue watu wanapinga nini. Hatua zilizopigwa zinaendena na rasilimali/uwezo wa nchi yetu? Kwa nini hatuna reli ya uhakika? Kwa nini huduma za afya na sasa wakubwa wameamua kukimbilia India? Tanzania tulipata uhuru pamoja na nchi kama za Malaysia na Singapore. Na hizi nchi (zote kwa pamoja) hawana natural resources hata nusu ya Tanzania. Leo hii Malaysia na Singapore wako wapi?
Pascal anaongelea barabara? Aende Kuala Lumpur halafu alinganishe na Dar es Salaam! Pascal akaangalie vyuo vikuu vya Malaysia. Ni vizuri Pascal aelewe nini hasa kiini cha watu kulalamika.
Acha utani.Hali halisi ni ngumu sana.Binafsi nimelima kwa jembe la mkono.Mbolea nitaishia kuisiki kwa wenzangu.Mfuko 1 ni 65000.vp hapo?njoo huku uswahilini uone jins watu wanavyokula mlo 1.Asante mtoa mada, asante Mayala, ni kweli member wenzangu humu wengi wao ni kupinga tu, matusi tu, bila ya kupima na kujenga hoja ya hali halisi
Anatumia Username gani hapa JF???
Kama swali linashahabiana na "name calling" samahani sana na lipotezee tu, I'll find out!!
Unamkubali kwa Lipi Dena mh! but nasikia huwa hana MadharaHata mimi nataka kujua anatumia ID gani maana huwa namkubali sana huyu jamaa
ID yake ni Pascal Mayala, sasa swala la kumkubali sijajuwa unamkubali kwenye nini? humu kuna watu mna mambo ya ajabu sana.Hata mimi nataka kujua anatumia ID gani maana huwa namkubali sana huyu jamaa
Kuna member humu anaitwa Pasco, na kuna member anaitwa Pascal Mayala.Yeye mwenyewe alivyopata ajali,alikwenda india kutibiwa.KUNGEKUWA NA Maendeleo si angeendelea kutibiwa Muhimbili,Pasco bwana.
kinachotumaliza ni UFISADI na POSHO otherwise tungekuwa mbali sana
Haya munayoita maendeleo ukilingasha na umri [miaka 50] wa nchi, rasilimali zilizipo haviendani ndiyo maana tunasema hakuna maendeleo
Hata mimi nataka kujua anatumia ID gani maana huwa namkubali sana huyu jamaa
Sasa kama Tz inakuwa ranked sawa na Iraq na Afughanistani kwa kuomba omba bado unadiriki kusema tumesonga mbele?
CCM wameua viwanda,wameua ATC,unemployment rate iko juu,madini yanachimbwa kwa wingi faida hatuioni.
Mayala tupe mchanganuo wa hayo wanayosema tumesonga mbele tukupe facts za kujustify criticisms