Sasa unajiita jasiri huku umejificha kwa ID fake.? Kama si ukunguru ni nini?Huwa siwaelewi watu mnaokujaga na kauli hizo za watu kutumia hizo mnaita ‘fake id’. Unajua malengo ya JF? Nikukumbushe, moja ya malengo yake makuu ni watu kuongea kwa uhuru na hasa kukosoa mienendo ya serikali na watendaji wake bila woga na hizo mnaita ‘fake id’ zinawasaidia members kufanya hivyo.
Labda umeanza jana kuijua na kutumia mitandao ya kijamii ila kutumia jina lolote unalotaka ni moja ya uhuru tulio nao huku mitandaoni!
Ila hongera kwa kulipwa kodi za wananchi kuja kupoteza muda wako mitandaoni.
Umemaliza mkuuNyote kwenye uzi huu, mnaosema haumumuelewi Pascal. Jee mnamuelewa yericko, Salaryslip, Fatma Karume, Olesosopi, Marai Sarungi na ofcourse KIGOGO,basi kama hao wote mnawaelewa, basi mjui nyinyi ni wanafiki msiokuwa na ukweli wowote, Pascal ni mtu anayeunga mkono siasa za CCM, kama hao niliowataja wanavyo shabikia upinzani CDM ama ACT. Nyie mnaomuona anachumia tumbo lake ni kwa sababu haungi mkono vyama venu na siasa za viongoziwa vyama vyenu.
Pascal huwa kuna wakati anakoswa kama wanadamu wenzake, lakini ni mwandishi makini sana na mwenye hoja zenye mashiko, sio mtukanaji au mropokaji kama kina Bi Fatma na kigogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujua kama pascal ana wapambe , anakulipa bei gani mkuu ?Nyote kwenye uzi huu, mnaosema haumumuelewi Pascal. Jee mnamuelewa yericko, Salaryslip, Fatma Karume, Olesosopi, Marai Sarungi na ofcourse KIGOGO,basi kama hao wote mnawaelewa, basi mjui nyinyi ni wanafiki msiokuwa na ukweli wowote, Pascal ni mtu anayeunga mkono siasa za CCM, kama hao niliowataja wanavyo shabikia upinzani CDM ama ACT. Nyie mnaomuona anachumia tumbo lake ni kwa sababu haungi mkono vyama venu na siasa za viongoziwa vyama vyenu.
Pascal huwa kuna wakati anakoswa kama wanadamu wenzake, lakini ni mwandishi makini sana na mwenye hoja zenye mashiko, sio mtukanaji au mropokaji kama kina Bi Fatma na kigogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sihusiki na nyuzi zinazofutwa , usinisingizie
Ushahidi wa nini ? mimi kama wewe tu sina uwezo wowote wa kufuta uzi wa mtuToa ushahidi?
Tumekwisha pita mbali mkuu ."Kwa wale ambao kusifia magufuli kwao ni kero naomba wapite mbali na uzi huu......mimi ni msukuma halisi na Magufuli ni msukuma kabisa...."Paskal Nxala..
Nakumbuka kuna wasukuma wakati nasoma advance wao walikuwa wanakaa peke yaobtunaita kwenye chamber basi huko ni kupiga kisukuma mwanzo mwisho hadi kero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Just joking, do not take it serious, have a nice day.Ushahidi wa nini ? mimi kama wewe tu sina uwezo wowote wa kufuta uzi wa mtu
Sasa unajiita jasiri huku umejificha kwa ID fake.? Kama si ukunguru ni nini?
Mleta mada kama yeye ni kidume aje na jina lake halisi kama Pasco alivyofanya kisha ndio wapambane.
Siyo unajificha uvunguni na katecno kako alafu unakuja humu na kijina chako bandia alafu eti hooo tutachinja, mara hiivi, mara corona njoo. Pumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakumbuka kuna siku uliaga lakini naona bado JF imekung’ang’ania!!!Korona imefika now you are happy.
Pascal Mayala, Tamaa ya tumbo haitakiwi kuizidi akili yako utakuwa mtumwa siku za mbeleni.Paschal nimeona tuhuma zako ukituhumu comment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi? Ulikula pesa kiasi gani za Lowassa 2010- 2015?
Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?
Shetani ni wale wote wanasapoti mauaji, utekaji na kuzuia uhuru wa wengine kukosoa viongozi wao na nakuhakikishia hautapewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
Siogopi chote na sina njaa ya pesa wala ya chochote kama ulivyo wewe naomba uache uchonganishi, ukabila na njaa.
Achana na watu, deal na mambo yako.
Aiseeee !!Mimi mwenyewe msukuma lakini siwezi kuwa mpumbav kama wao hawa wanaosaka vyeo kwa kutumia ukaburu.Pasco kawa zuzu na njaa kweli kama jina lake linavyosadifu itamuua
Aaggh mambo yenyewe ndio hayo ya kula pesa sijui za nani, nikajua ishue nzito nzito.
Ni popo wale wenye corona virusKweli kabisa hajulikni kama ndege au popo