Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,209
- 27,025
Yeah mshanajr ni Muungwana Barabara!Namkubali sana Mshana Jr kwababu ifuatayo.
Jamaa yuko humble sana na hata ukimuuliza inbox swali lolote anakujibu kwakadiri awezavyo na pale ujuzi wake unapofika kikomo anakwambia. Ukihitaji kusaidiwa kwa wazo, jamaa yuko active sana. Though Pascal Mayalla naye ana mazuri yake pia. Ila mshana anakula 9/10
unamuonea paskal huwa hajibu vibaya hata ukimtukana anakupa likePascal Mayalla ukitoa komenti ya maudhi anakuharibia siku yako Tena huwa anatoa tahadhari mapema kabisa, Mshana Jr huwa anajitahidi Sana kuepuka maudhi, akitoa maudhi Basi ni kwa hekima sana
Pascal Mayalla ukitoa komenti ya maudhi anakuharibia siku yako Tena huwa anatoa tahadhari mapema kabisa, Mshana Jr huwa anajitahidi Sana kuepuka maudhi, akitoa maudhi Basi ni kwa hekima sana