Nionacho siku hizi muna mmoja wapo kaingia katika jukwaa ambalo mwingine alikuwapo. Ila hajaja na staili yake ya uandishi bali anakopi staili ya mwenzake aliyemkuta hivyo ukija kichwa kichwa unaweza sema ndio yulewa awali kumbe ni huyu wa sasa.Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hiiWakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.
Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
uhusiano wa wana JF na pascal mayala. umenikumbusha story ya mobutu na wananchi wake wakati akiwa mwandishi wa habariDogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
Nadhani Pasco huwa humuelewiDogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.