Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.

Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?

Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
UNAPOVUMIA UPEPO NDIPO ANAPOELEKEA PASKALI
 
Nafikiri moja kati ya utambulisho muhimu kwa mtanzania utakuwa ni "Unafiki", sisi ni watu wanafiki sana katika dunia hii.

Wakati wa Magufuli walimsujudia sana na kumfanya aonekane mungumtu leo amekufa wapambe wake wanamkimbia na kumsifia mama kwani kwa sasa ndio mgawa riziki.
 
🤣 🤣🤣🤣Kwa hiyo sasa hutaki tena kukumbuka jinsi ulivyokuwa unajitahidi kuupaka rangi UDIKTETA ili sio tu kuupendezesha bali pia kuweka mzingira ya 'kutosahauliwa'?. Kama ni kweli basi ninakutakia heri ingawaje itabidi kukuangalia kidogo kabla sijakuamini.
Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.
Wakati wa Magufuli walimsujudia sana na kumfanya aonekane mungumtu leo amekufa wapambe wake wanamkimbia na kumsifia mama kwani kwa sasa ndio mgawa riziki.
Mkuu kama ni kweli Imeloa, then, inatakiwa kuloa ndio itumike, ila kama imeloa wakati ambao haina matumizi, then ama iache wazi ipigwe upepo ikauke, au ifute kwa tissue ikauke...!. Jee kwenye mabandiko yangu, uliwahi kukutana na bandiko hili? Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!

Au hili Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe

Jee mimi ni miongoni mwa waabudu na wasujudu, or nilikuwa ni critical analyst?.
P
 
Nakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?

Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional.

What has Mulamula done, kuna namna tumejifunza ya kupambana na US politics or influence in Tanzania kwa ushauri wake.

How best to attract US investors in Tanzania based on her advice?

How to influence our policies in US government for the benefit of Tanzania?

Mulamula is just another useless diplomat.
Mulamula is falling in dog digger ccm
 
Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.

Mkuu kama ni kweli Imeloa, then, inatakiwa kuloa ndio itumike, ila kama imeloa wakati ambao haina matumizi, then ama iache wazi ipigwe upepo ikauke, au ifute kwa tissue ikauke...!. Jee kwenye mabandiko yangu, uliwahi kukutana na bandiko hili?.

Au hili

Jee mimi ni miongoni mwa waabudu na wasujudu, or nilikuwa ni critical analyst?.
P
Mkuu Pascal huu uzi unaonyesha kuwa maoni yako yanasomwa na watu, ina maana kuwa unaheshimiwa. Na kama unaheshimiwa unajua ni nini cha kufanya. Kuzungumzia udikteta, haina maana unaupinga au unauunga mkono, na kuzungzumzia ujinga haina maana unaunga mkono au unapinga, ndio maana baadhi ya wachangiaji wanasema wewe ni opportunist unaangalia upepo.

Issue ni kwamba tumebadilisha chupa tu, mvinyo ni ule ule, Rais wa sasa hajabadilisha mfumo wowote anafanya kazi kwenye mfumo ule ule kwa kutumia weledi na busara zake, kama wewe unaona kuna mfumo ameubadilisha itakuwa vizuri sana ukitueleza sisi ma-laymen.
 
What do you know about penetrating the us market in any industry?

Ukitaka kuuza bidhaa yoyote ya Tanzania, US unamjua wholesaler yoyote atakaenunua, how to approach them and his quality demands? Based on Tanzania government information.

Believe or not kuna watanzania diaspora wanaoishi huko wanaoweza kukufungulia soko, kuliko serikali yako.

Ukitaka kuvutia mwekezaji binafsi kutoka US wa kushirikiana nae Tanzania kwenye biashara yako una platform yoyote ya kuuza mawazo yako ya kibiashara US?

How did this woman enhance Tanzania, US relations?

A useless woman nothing else
Sasa Mulamula hajakaa kwa ofisi hata miezi 6 unaanza kumshambulia,naona unasbuliwa na jinsia yake. Omba wewe uwe waziri wa mambo ya nje ili tuone utaweza kuwa-confront vipi marekani. Badala uje na suruhisho unatoa mipovu hapa,,to hell!
 
Mkuu Pascal huu uzi unaonyesha kuwa maoni yako yanasomwa na watu, ina maana kuwa unaheshimiwa. Na kama unaheshimiwa unajua ni nini cha kufanya. Kuzungumzia udikteta, haina maana unaupinga au unauunga mkono, na kuzungzumzia ujinga haina maana unaunga mkono au unapinga, ndio maana baadhi ya wachangiaji wanasema wewe ni opportunist unaangalia upepo.

Issue ni kwamba tumebadilisha chupa tu, mvinyo ni ule ule, Rais wa sasa hajabadilisha mfumo wowote anafanya kazi kwenye mfumo ule ule kwa kutumia weledi na busara zake, kama wewe unaona kuna mfumo ameubadilisha itakuwa vizuri sana ukitueleza sisi ma-laymen.
Mkuu Bongolander , kwanza asante kwa hoja mujarab, kwasababu humu jf, japo tuko members wengi, ila members wenye hoja mujarab, wanahesabika, wewe ni mmoja wao, hongera kwa hili.

Rais wa Tanzania ni executive president, kwa mujibu wa katiba yetu, rais ana washauri, na kuna mambo katiba inaelekeza rais atashauriwa, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi yeye mwenyewe kama yeye, halazimiki kufuata ushauri wa yeyote.

Kazi ya kujenga mifumo, is not an overning job, it needs time. Ni kweli Samia ameingia kwenye mfumo ule ule wa Magufuli, na aliahidi kwa kauli kuwa yeye ni kama Magufuli na atamuenzi Magufuli kwa yote, ila ile ni kauli tuu, kiukweli Magufuli alikuwa ni Magufuli, na Samia ni Samia, hata kama mfumo ni ule ule, tayari Samia ameishaonyesha kwa kauli na matendo, Samia ni Samia, na yuko tofauti kabisa na Magufuli. Hivyo nashauri tumpe muda Mama Samia, tusim magufulisify Samia kwenye magufulification, bali mwacheni Samia alete Suluhu na kuliponya Taifa. Tumpe muda Mama!.
Baada ya Mama Samia kuingia, niliandika Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri
Kisha nikaandika TZ Trends & Analysis: Hoja 30 za The Economist Kumhusu President Samia. Kuna za Kweli, za Uongo na Uzushi na Kutaka Kumpangia Watakacho Mabeberu, Jee?
P
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje! Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Hauwezi kujijua watu wapembeni ndio tunakfahamu ukweli wewe ni kinyonga
 
Huwezi jenga mifumo kwa katiba ya kidikteta, maana kina sabaya type still wangalipo sababu malezi hayafanani.
Kiongozi bora utoka kwenye familia bora.
 
Sasa Mulamula hajakaa kwa ofisi hata miezi 6 unaanza kumshambulia,naona unasbuliwa na jinsia yake. Omba wewe uwe waziri wa mambo ya nje ili tuone utaweza kuwa-confront vipi marekani. Badala uje na suruhisho unatoa mipovu hapa,,to hell!
She might be a new minister but she has been bred by the ministry for a while.

Either huko wizarani tumejaza wapuuzi or somen; balozi anatakiwa kushauri nchi aliyokaa on what they import, policies zao, quality wanazotaka, shipping advice, wanunuaji wa bidhaa and so forth.

Na hizo info ukiingia wizara ya mambo ya nje wanatikiwa kukuwekea kwenye link zao ya kila nchi ambayo tunawawakilishi on what best to import.

Wanawajibu wa kuwaelimisha wafanyabiashara wa watanzania na kuwafungulia masoko ndio kitu serikali inachotaka. .

Swali kwa Mulamula US ina import metric tonnes of what ambazo watanzania wanatiwa wachangamkie fursa especially on raw materials and the penetration strategy?

Maana kwa bidhaa based on shelve live Tanzania kupeleka mazao ulaya labda ni mazao ya kuhimili hali ya hewa kwa muda mrefu (hawa watu wana weeks zao kabla chakula akijafika mezani kutoka shambani and in most cases 4 weeks so time is an essense) Kwa ivyo unless we have airline tunabaki na importations kama za Tumbaku, korosho etc.

Either way kuna info zozote kwenye website ya wizara nini tupeleke huko and shipping advice?

As far as security goes siwezi discuss na Mulamula she is not that clever na hayo mambo yanataka akili; I don’t think she has that wit nor has she ever read Plato’s Republic sasa mtu kama huyo unaanza kuongea nae vipi kuhusu western politics wakati hata basics hana. Huwezi kuzungumza western politics na mtu ambae hajasoma the Republic by Plato simple as that.

Why do we think asilimia kubwa ya wanasiasa especially UK wamesoma PPE degree (Philosophy, Politics and Economics). Na hiyo Philosophy asilimia kubwa ni Republic ya Plato.

Hao watu ni mashujaa kwa siasa za Tanzania tu; but useless individuals.
 
Pascal Mayalla
Wakati wa Mwendazake ulimsifu kwa makala lukuki
Mkuu Babu Ochu, kwanza ni kweli nilisifu kwa makala lukuki, jee zilikuwa ni sifa za uongo?. Magufuli alikuwa jembe au sii jembe?. Makala zote za kusifu, alistahili, jee makala zangu lukuki za criticism of JPM ulikuwa unaiona?.
Sasa umehamia kumsifu rais Samia kwa style yake nzuri ya utawala
Kama ulivyo eleza kuhusu style nzuri ya utawala wa Samia, jee anastahili kusifiwa?. Na kwa Samia, jee umeona makala za sifa tuu?, za criticism jee hujaziona?.
tatizo ni kwamba hawa wawili huwezi kusema wanna mfumo uliofanana wa utawala
Unabadilika badilika.
Kuna mtu yoyote amewahi kusema Sa💯 na JPM wanafanana mifumo?.
JPM utawala wake ulikuwa Top-buttom style huku akijenga watu, powerful people. Sa💯 yeye ni Bottom-Up, style huku akijenga mifumo, systems Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli
P
 
mHivi ndivyo ukuu wa wilaya unavyotafutwa
Mkuu Mapendekezo, jf ni ukumbi wa kuhabarishana kuelimishana kuburudishana na kusaidiana, kwa vile mimi ni miongoni mwa wahanga wa kusingiziwa natafuta u DC, nimeendesha darasa la namna ya kutofautisha wasifiaji wafukuzia fursa na wasifiaji bonafide genuine wanaosifu sifa za ukweli zinazo stahili kusifiwa.
karibu darasa hili Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
P
 
Pascal amebadilika once again. Maisha yanaenda kasi sana
Mkuu balimar , human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place, circumstances and environment, tunaishi kwenye jungle, hivyo the laws of the jungle applies, it's a constant struggle for existence, survival is for the fittest, to be fit to survive, ni lazima uwe na uwezo wa kujibadili kwa kuwa adaptive to the changing environments. You have to change and adapt or ilishindwa kubadilika you either-or, perish and face extinction.
I'm a survival!.

Samia baada tuu ya kuapishwa
ameendelea na watu wa JPM, wale adaptive, anaendelea nao mpaka kesho, wale walioshindwa kubadilika na kuwa adaptive to the changing political environment, wamekuwa flashed out.
P
 
Back
Top Bottom