Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Sijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Mkuu, ni kweli hujabadilika kwa maana bado ni Pascal na ukijitokeza tu popote tunakutambua ni wewe. Permanance ni nature ya kimbe chochote but as time goes on changes within a natural being is inevitable, biologically and socially.
"Survival of the fittest" how can you fit without changing in the world that is always changing? As a great thinker, you have to osberve this.
 
I agree with you ili ndio tatizo letu tunapenda kukuza watu sana based on their academic achievements wakati hatujui hata grades zao and so forth; wakati watu wenyewe ukiwasikiliza au ukiwafanyia performance appraisal hakuna results.

Mulamula is just an average diplomat, tofauti anavyotaka kukuzwa; Yericko is more security conscious kuliko yeye.
Yani huyu mama Bora ya kabudi kwa jinsi nilivo mfatilia hata ongea yake ni tabu tupu kulinganisha na hyo CV yake alivopambwa had nikawaza alikuwa kweli huko nje ya nchi au alikuwa madongo kuinama?
 
Pascal Mayalla, mifumo haijengwi kwa kuteua na kuweka watu wenye professionalism ktk nafasi zao stahiki kama akina Mulamula. Bali hujengwa kwa kuweka sheria, kanuni na taratibu madhubuti zitakazopelekea kujengeka kwa nguvu ya kitaasisi.

Huyu mama binafsi nitamkubali endapo atabadilisha katiba ili kupunguza mamlaka ya rais ya kuteua karibu kila mkuu wa taasisi, idara, mashirika na vyombo vya ulinzi na usalama. Hapa ndiyo panaharibu mifumo ya utendaji kazi.

Watu wanafika mahala wanatumikia vyeo kinyume na matakwa ya elimu zao ili kumfurahisha aliyewateua.

Bila katiba mpya hakuna mifumo ya kiuongozi atakayojenga mama SSH.
AMEN
 
Mtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje! Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
🤣 🤣🤣🤣Kwa hiyo sasa hutaki tena kukumbuka jinsi ulivyokuwa unajitahidi kuupaka rangi UDIKTETA ili sio tu kuupendezesha bali pia kuweka mzingira ya 'kutosahauliwa'?. Kama ni kweli basi ninakutakia heri ingawaje itabidi kukuangalia kidogo kabla sijakuamini.
 
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.

Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?

Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Pasko ni mchambuzi?
 
Pascal Mayalla atuambie sahivi lipi BORA Kati ya kujenga Watu kama alivyofanya hayati Dr JOHN POMBE MAGUFULI au kujenga Taasisi kama anavyofanya mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT.
Hapa tunaweza kumjua kaka Pascal Mayala Ni Mtu wa Aina gani
 
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.

Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?

Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
mbona unahangaika sana yaani unabadilikabadilika hata hueleweki tu umepoteza imani kwetu umekuwa Masaka madaraka leo unamsifia mama
 
Ungeahacha kujikomba kwa wakubwa, uyu mama ni tofauti na ********, hatakupa cheo uyu

Back
Top Bottom