UNAPOVUMIA UPEPO NDIPO ANAPOELEKEA PASKALIRais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
KWA KWELI BROTHER HATA KAMA NI TEUZI HAPA UMEZIDISijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.🤣 🤣🤣🤣Kwa hiyo sasa hutaki tena kukumbuka jinsi ulivyokuwa unajitahidi kuupaka rangi UDIKTETA ili sio tu kuupendezesha bali pia kuweka mzingira ya 'kutosahauliwa'?. Kama ni kweli basi ninakutakia heri ingawaje itabidi kukuangalia kidogo kabla sijakuamini.
Mkuu kama ni kweli Imeloa, then, inatakiwa kuloa ndio itumike, ila kama imeloa wakati ambao haina matumizi, then ama iache wazi ipigwe upepo ikauke, au ifute kwa tissue ikauke...!. Jee kwenye mabandiko yangu, uliwahi kukutana na bandiko hili? Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!Wakati wa Magufuli walimsujudia sana na kumfanya aonekane mungumtu leo amekufa wapambe wake wanamkimbia na kumsifia mama kwani kwa sasa ndio mgawa riziki.
Mulamula is falling in dog digger ccmNakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?
Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional.
What has Mulamula done, kuna namna tumejifunza ya kupambana na US politics or influence in Tanzania kwa ushauri wake.
How best to attract US investors in Tanzania based on her advice?
How to influence our policies in US government for the benefit of Tanzania?
Mulamula is just another useless diplomat.
Paskal misimamo yako ina yumba yumba.Sijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Mkuu Pascal huu uzi unaonyesha kuwa maoni yako yanasomwa na watu, ina maana kuwa unaheshimiwa. Na kama unaheshimiwa unajua ni nini cha kufanya. Kuzungumzia udikteta, haina maana unaupinga au unauunga mkono, na kuzungzumzia ujinga haina maana unaunga mkono au unapinga, ndio maana baadhi ya wachangiaji wanasema wewe ni opportunist unaangalia upepo.Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.
Mkuu kama ni kweli Imeloa, then, inatakiwa kuloa ndio itumike, ila kama imeloa wakati ambao haina matumizi, then ama iache wazi ipigwe upepo ikauke, au ifute kwa tissue ikauke...!. Jee kwenye mabandiko yangu, uliwahi kukutana na bandiko hili?.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!
Wanabodi, Hili ni bandiko la kumjibu mwana JF mwenzetu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, aliyesema rais Magufuli ni alfa na omega, hapa mimi natofautiana naye kuwa rais Magufuli sio alfa na omega, Alfa na Omega ni Mungu tuu pekee!. Rais wa nchi sio mungu hivyo kumuita Rais Magufuli kuwa alfa na omega, ni...www.jamiiforums.com
Au hili
Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe
Wanabodi, Kufuatia kazi nzuri inayofanywa na rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuna baadhi ya watu wanamkubali sana hadi kufikia kiwango cha kama kumuabudu fulani!, na humu JF, nimenote modes wa JF nao wanaanza kufuata mkumbo, sio tuu wa kumuogopa rais Magufuli, bali sasa na wao ni...www.jamiiforums.com
Jee mimi ni miongoni mwa waabudu na wasujudu, or nilikuwa ni critical analyst?.
P
Sasa Mulamula hajakaa kwa ofisi hata miezi 6 unaanza kumshambulia,naona unasbuliwa na jinsia yake. Omba wewe uwe waziri wa mambo ya nje ili tuone utaweza kuwa-confront vipi marekani. Badala uje na suruhisho unatoa mipovu hapa,,to hell!What do you know about penetrating the us market in any industry?
Ukitaka kuuza bidhaa yoyote ya Tanzania, US unamjua wholesaler yoyote atakaenunua, how to approach them and his quality demands? Based on Tanzania government information.
Believe or not kuna watanzania diaspora wanaoishi huko wanaoweza kukufungulia soko, kuliko serikali yako.
Ukitaka kuvutia mwekezaji binafsi kutoka US wa kushirikiana nae Tanzania kwenye biashara yako una platform yoyote ya kuuza mawazo yako ya kibiashara US?
How did this woman enhance Tanzania, US relations?
A useless woman nothing else
Mkuu Bongolander , kwanza asante kwa hoja mujarab, kwasababu humu jf, japo tuko members wengi, ila members wenye hoja mujarab, wanahesabika, wewe ni mmoja wao, hongera kwa hili.Mkuu Pascal huu uzi unaonyesha kuwa maoni yako yanasomwa na watu, ina maana kuwa unaheshimiwa. Na kama unaheshimiwa unajua ni nini cha kufanya. Kuzungumzia udikteta, haina maana unaupinga au unauunga mkono, na kuzungzumzia ujinga haina maana unaunga mkono au unapinga, ndio maana baadhi ya wachangiaji wanasema wewe ni opportunist unaangalia upepo.
Issue ni kwamba tumebadilisha chupa tu, mvinyo ni ule ule, Rais wa sasa hajabadilisha mfumo wowote anafanya kazi kwenye mfumo ule ule kwa kutumia weledi na busara zake, kama wewe unaona kuna mfumo ameubadilisha itakuwa vizuri sana ukitueleza sisi ma-laymen.
Wewe ni kinyongaSijabadilika popote wala chochote, Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo.
P
Hauwezi kujijua watu wapembeni ndio tunakfahamu ukweli wewe ni kinyongaMtu ni unajijua mwenyewe ukoje from deep inside yourself na sio watu wanakuonaje! Mimi ndio Pasco mwenyewe, ninakuambia hapa, sijabadilika, mimi ni yule yule, juzi, jana na leo, ila be free to assume anything.
P
Kipindi Cha Hayati alimsifu SANA masikini hakupata kitu naona ananza kwa huyu tenaHivi ndivyo ukuu wa wilaya unavyotafutwa
Kosa alilofanya ni kuuliza swali lile ikulu mzee wa visasi akaviweka moyoniKipindi Cha Hayati alimsifu SANA masikini hakupata kitu naona ananza kwa huyu tena
Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
She might be a new minister but she has been bred by the ministry for a while.Sasa Mulamula hajakaa kwa ofisi hata miezi 6 unaanza kumshambulia,naona unasbuliwa na jinsia yake. Omba wewe uwe waziri wa mambo ya nje ili tuone utaweza kuwa-confront vipi marekani. Badala uje na suruhisho unatoa mipovu hapa,,to hell!
Mkuu Babu Ochu, kwanza ni kweli nilisifu kwa makala lukuki, jee zilikuwa ni sifa za uongo?. Magufuli alikuwa jembe au sii jembe?. Makala zote za kusifu, alistahili, jee makala zangu lukuki za criticism of JPM ulikuwa unaiona?.Pascal Mayalla
Wakati wa Mwendazake ulimsifu kwa makala lukuki
Kama ulivyo eleza kuhusu style nzuri ya utawala wa Samia, jee anastahili kusifiwa?. Na kwa Samia, jee umeona makala za sifa tuu?, za criticism jee hujaziona?.Sasa umehamia kumsifu rais Samia kwa style yake nzuri ya utawala
Kuna mtu yoyote amewahi kusema Sa💯 na JPM wanafanana mifumo?.tatizo ni kwamba hawa wawili huwezi kusema wanna mfumo uliofanana wa utawala
Unabadilika badilika.
Mkuu Mapendekezo, jf ni ukumbi wa kuhabarishana kuelimishana kuburudishana na kusaidiana, kwa vile mimi ni miongoni mwa wahanga wa kusingiziwa natafuta u DC, nimeendesha darasa la namna ya kutofautisha wasifiaji wafukuzia fursa na wasifiaji bonafide genuine wanaosifu sifa za ukweli zinazo stahili kusifiwa.mHivi ndivyo ukuu wa wilaya unavyotafutwa
Mkuu balimar , human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place, circumstances and environment, tunaishi kwenye jungle, hivyo the laws of the jungle applies, it's a constant struggle for existence, survival is for the fittest, to be fit to survive, ni lazima uwe na uwezo wa kujibadili kwa kuwa adaptive to the changing environments. You have to change and adapt or ilishindwa kubadilika you either-or, perish and face extinction.Pascal amebadilika once again. Maisha yanaenda kasi sana