Pascal Mayalla: Rais punguza ukali

Pascal Mayalla: Rais punguza ukali

Ushauri line ya mwisho sikubalianinao hata kidogo hapo ulichemka sana.
Mkuu Babati, everyone has his /her own right on his/her opinions. Ushauri ni mtazamo tuu wa mtu na sio lazima ukubaliane nae. Huo ndio mtazamo wangu na mpaka hapa tulipo, niko right na watu wananyooka.

Paskali
 
Mkuu naona hujanielewa kidogo sana, namaanisha ushauri mwingi unatoa watu wanaupenda sana lakini pale mwisho watu wengi waliguna sana. Upo poa kiongozi we piga kazi.
 
pasco hata kama uko kundi gani hilo naona siyo kitu sana, kwani uzalendo wako kwa nchi hii umeshauonyesha sana, endelea ndugu na Mungu akujalie,
 
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alitukataza kufuatilia makabila ya watu, unless kama unataka kufanya tambiko.

Paskali

Ukabila ni utambulisho wa mtu, kama jinsi tunavyoelewa kuwa yeye (JK Nyerere) alikuwa ni MZANAKI wa mkoa wa MARA. Na si kila neno alilolitoa lilikuwa sawa na sahihi, isipokuwa Mungu pekee ndiye sahihi mda wote! Elewa kuwa bila kuelewa kabila la mtu utapata shida kuelewa tabia ya mtu. Sisi tuliobobea katika "saikolojia" tunaelewa hivyo
 
Kuna faida gani kujua kabila la mtu? .
Paskali
 
Yes anayo na sio moja!.

Sio kosa Mtanzania yoyote kumiliki mali yoyote alimradi hiyo mali awe ameipata kwa haki na halali na umiliki wake pia uwe ni wa halali!.

Paskali
Kitu kinachonishangaza sana ni mawazo ya baadhi ya wananchi wetu Tanzania. Kuna wananchi hukataa kabisa kuamini kuwa mtanzania mwenzao anawexza kuwa tajiri kwa kujituma na kwa ujasiri wa kufanya mambo kwa mpangilio. Kuna wengi hata wakiambiwa kuna watanzania wenzao wanaolipwa hadi milioni 50 kwa mwezi, (japo si lazima iwe hapo nchini) hulipuka kama puto wakipaza sauti "haiwezekani!!". Usingizi umewazidi kiasi wanakuja wageni nchini wakiwa hawana chochote, lakini kwa kujituma wanaamka asubuhi saa kumi na moja, wanafungua hoteli zao wanaingia jikoni wanaandaa vifungua kinywa kwa ajili ya wateja. Hao hao walipukaji maputo wakiamka saa mbili, tatu nne wanaenda kupata breakfast pale, pesa anayoiacha pale hajitambui, lakini aliyeamka saa kumi na moja ikifika saa tano na nusu keshaingiza siku mara kumi ya aliekuwa kitandani (sijui akishughulika nini au akiota nini). Huyo huyo ndiye wa kwanza kulipuka puto! "haiwezekani mtu kuwa tajiti kwa haraka namna hii!" Akiwa mtanzania mwenzao ndiyo kabisaa, ataacha kwenda kufanya kazi kuiingizia familia kipato, badala yake anenda kutafuta ushauri kwa mganga wa kienyeji ili biashara ya mtanzania mwenzake ife.
Kwa kweli Watanzania inabidi tubadilike! Sasa inabidi!
 
Kwa wale wazamani wanaonifahamu tangu enzi zangu za kipindi cha Kiti Moto, wananifahamu na wanafahamu type ya maswali yangu, nikweli jana nilikutana na rais Magufuli kule Saba Saba na baada ya kumsalimia nilimuhakikishia Watanzania wanampenda sana ila pia amezidisha ukali kwa kuzuia mikutano ya siasa.
Leo kwenye kumbukumbu ya JPM, najikumbusha niliwahi kusema nini humu, juu ya mtu huyu.
P
 
Back
Top Bottom