Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Mwandishi Pascal Mayalla akihojiwa na mwandishi wa DW amesema kuwa Kiongozi akisemwa kitu ambacho hajakipenda anatakiwa kulalamika yeye na si mamlaka za udhibiti, kwani kufanya hivyo inakuwa kama uchawa wa kimamlaka.
Pia soma
- Paschal Mayalla: Mwigulu Nchemba hakufurahia Majaliwa, Warioba na Pinda kushangiliwa kwenye mazishi ya Kardinali Pengo
- JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa
- Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili