Ebu funguka ni ofa ipi utakayogoma kutoa tena! hivyo vilivyopo mezani au vilivyofuata baada ya hapo?Mtani bana umeona unitangaze huku sikup ofa tena ..
Ebu funguka ni ofa ipi utakayogoma kutoa tena! hivyo vilivyopo mezani au vilivyofuata baada ya hapo?
Sasa nawewe wangejuaje kuwa umenitoa? Japo ulinipandisha MV sakina
Basi huo mgomo baridi,hamna noma.Vya mezani mkuu
Alifahamu hutopenda kutangazwa ndio maana kaficha sura.Mtani bana umeona unitangaze huku sikup ofa tena ..
Jeshi la mtu mbili tuuu halafu silaha za kufa mtu
naomba mniambie ni chakula gani hicho?
Alifahamu hutopenda kutangazwa ndio maana kaficha sura.