Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Hakuna sikukuu ya kikristo yenye ushaidi wa kimaandikoo....na kama ipo fungukeni kwa vifungu vya biblia.....sio polojo za mapokeo.

Umesema kweli maana sikukuu zote za kidini(si kwa wakristo tu), ni muendelezo wa sikukuu za BABELI ya kipagani. Kumbuka pia, mafundisho ya dini yako, chanzo chake ni kule kwa kiongozi maarufu kuliko viongozi wote wa dini duniani.
 
katika.kitabu cha Mithali 23:23 tunasoma hivi Inunue kweli wala usiiuze.... Na Yesu pia akasema hivi mtaifahamu kweli, nayo itawaweka huru.

What if hayo maandiko yapo kwenye vitabu vya wa Budha na wa Shinto... How can you prove hicho kitabu unachotumia ni sahihi.

Just asking tu. Hivi wayahudi wanatumia Bible au kitabu gani? Msaada please.
 
Pasaka njema kwa wanaoiamini!

Je neno sahihi linalomaanisha sikukuu hii ni lipi,easter au passover. Kumekua na mabishano mengi sana hapa,wengine wakisema easter ni sherehe za kipagani na hazina uhusiano na sherehe ya pasaka iliyokua imeamriwa na Mungu.

Na kama ndio hivyo ni kwa nini neno ester ndio linatumika badala ya passover?

Naomba kujuzwa tofauti ya haya mambo na nini kimepelekea neno passover halitumiki badala yake tunatumia easter.

Karibuni sana.
 
Pass-over limetumika ktk agano la kale kumaanisha pindi ucku WA kuua wazaliwa WA kuanza WA misri ambapo wanaisrael waliamriwa wachinje mwanakondoo na damu yke waipake ktk mila go yao ili wasidhurike na operation ya kuuawa kwa ma first born!!!

Easter nafkiri ni neno linalotumika ktk agano jipya!!
Ngoja wengne watakolezea!!
 
passover ndyo sahihi.ester imechakachuliwa na waroma.ester ilikuwa sherehe ya kipagani na ilikuwepo kabla ya kristo,,,mengne watakuja wajuzi watafafanua.niko busy kidogo
 
Passover ni kumbukumbu ya wakati wayahudi wakiondoka utumwani misri.
Hiyo easter watakuja wataalamu kujibu.
 
Passover ilikua ya Musa na wayahudi wa enzi izo ikiwakilisha pasaka ya kondoo aliyechinjwa usiku wa ukombozi wao kule Misri siku ya pigo la kumi.

Easter inawakilisha kufufuka kwa YESU, japo passover ni kivuli cha Easter, ila kwetu wakristo wa sasa ina maana nzito sana na ndio siku kubwa kuliko zote zilizowahi kutokea katika ulimwengu wa kikristo
 
passover ndyo sahihi.ester imechakachuliwa na waroma.ester ilikuwa sherehe ya kipagani na ilikuwepo kabla ya kristo,,,mengne watakuja wajuzi watafafanua.niko busy kidogo
Lakini hiyo passover ilisherehekewa hata na Yesu mwenyewe kwa taratibu zao za kidini kwa wakati huo, na mpaka leo wayahudi na dini zao wanaisherehekea.

Sharehe za Easter zinasherehekewa kwa kuenzi kufufuka kwa YESU na si suala lenye chimbuko la kipagani kama unavyotaka kutuaminisha, walichochakachua wakatoliki ni kutokula nyama siku ya IJUMAA KUU na kuifanya siku ya IJUMAA KUU kuwa siku ya majonzi wakati kiroho ni siku ya kufurahia sana ushindi na ukombozi kwa mwanadamu
 
Mkuu kuna hoja,na hata mchangiaji mmoja kasema hapo juu kua easter ilikuepo kabla hata ya ujio wa Yesu,sasa watu walikua wanasherehekea ufufuo wa Yesu hata Yesu mwenyewe hajazaliwa?
Passover ilikua ya Musa na wayahudi wa enzi izo ikiwakilisha pasaka ya kondoo aliyechinjwa usiku wa ukombozi wao kule Misri siku ya pigo la kumi.

Easter inawakilisha kufufuka kwa YESU, japo passover ni kivuli cha Easter, ila kwetu wakristo wa sasa ina maana nzito sana na ndio siku kubwa kuliko zote zilizowahi kutokea katika ulimwengu wa kikristo
 
Wana jamvi yani leo nimeamka tu asubuhi mara ghafla mawazo yakaniijia kwanini sikukuu za pasaka zinatofautiana tarehe kila mwaka na ni nani anazipanga maan sikukuu za waislamu zinategemea mwezi kuandama vp sisi wakistristo je kuna mtu anapanga tu kila mwaka au....?
 
Back
Top Bottom