Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Mnataka nayo muishikie bango au kuiga (ila kuiga hamuwezi kwani mitume wengine hawakufufuka!)? Christmas, Yesu alizaliwa, jamaa wakatafuta usawa, wakaita Maulid ya Mtume, matokeo yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema si halali kusherehekea maulid (bida'a), wengine wanasema ni halali (hasa wanaopenda kuiga vitu vya upande mwingine). Sasa naona hapa unataka ujue Pasaka ni nini ili uipendekeze huko, lakini bahati mbaya jamaa yenu hakufufuka!
Sio lazima uonyeshe upumbavu wako hadharani, rudia mada inasemaje nawe unajibu nini,utaelewa madhara ya wewe kutokuwa na ubongo kichwani. Stupid moron.
 
Jambo zuri ni kila mtu aamini dini yake sio vyema kukashifu dini nyingine
Hivi kwanini kila jambo ambalo halina chanzo toka maandiko matakatifu linapozungumzwa, watekelezaji wa hilo huishia kutoa kauli kila mmoja afuate imani yake. Hivi haujui kuwa hapa duniani kuna mafundisho mengi ya kipagani na Mungu huwatumia wanadamu kuelewesha wanadamu wenzao ili kuifikia ile anasema kuifahamu kweli inayoweka huru. Mafundisho potofu ni sharti yafhihirishwe na ibaki uamzi binafsi wa msikilizaji kama aendelee kuyashikiria ama la.
 
How sure you are kuwa mafundisho yako siyo ya kipagani?
Mwislamu ataona yake ndiyo sahihi ya Biblia ni yakipagani and virse versa same as to Budhism. Judaism and Shinto.
 
km biblia haijasema iadhimishwe unaidhimisha ya nini.tusifanye jambo tusilolijua.fuaten biblia inasemaje.
 
From the word "Feast of the Passover" wakati Mungu alipopita Misri na kuua mzaliwa wa kwanza wa Wamisri (binadamu na kila mnyama) lakini alipita/alipitiliza kwenye nyumba za wana wa Israel ambao waliamriwa kuchinja kondoo na kuweka damu kwenye miimo ya milango. Hiyo siku waliamriwa wale nyama hiyo usiku tayari kwa safari kesho yake asubuhi maana farao angewaachilia baada ya hilo pigo. Mungu alipopita na alipoona hiyo damu alipitiliza (God passed over all the houses with the lamb's blood on the door posts). hakuna mzaliwa wa kwanza wa wana wa Israel waliokufa si kwa binadamu au mnyama. Unaweza kusoma Agano la kale kitabu cha Kutoka 12 yote, halafu soma Agano jipya Luka 22:7-23. Soma tena Luka 24 yote. Wana wa Israel waliamriwa kuiadhimisha siku hiyo. Sasa Yesu alikufa kipindi hicho cha pasaka na wakristo huadhimisha pasaka kila mwaka kama kumbukumbu kwa ushindi wa Yesu kwani umauti haukumshikilia maana alifufuka siku ya tatu.
Napenda kujua hii pasaka husherehekewa kwa ajili ya jambo gani.

I'm curios. ⏰
 
Wafuate viongozi wa Dini watakufahamisha, maana huko ulikorukia ni mbali huwezi elewa. Au kama unajifurahisha tu ipotezee tu na endelea kuwa na amani.
 
From the word "Feast of thePassover" wakati Mungu alipopita Misri na kuua mzaliwa wa kwanza wa wa Misri kwa binadamu na kila mnyama lakini alipita kwenye nyumba za wana wa Israel ambao waliamriwa kuchinja kondoo na kuweka damu kwenye miimo ya milango. Hiyo siku waliamriwa wale nyama hiyo usiku tayari kwa safari kesho yake asubuhi maana farao atawaachilia. Mungu alipopita na alipoona hiyo damu alipitiliza (God passed over all the houses with the lamb's blood on the door posts). Unaweza kusoma Agano la kale kitabu cha Kutoka 12 yote, hafu soma Agano jipya Luka 22:7-23. Soma tena Luka 24 yote. Wana wa Israel waliamriwa kuiadhimisha siku hiyo. Yesu alikufa kipindi hicho cha pasaka na wakristo huadhimisha pasaka kila mwaka kama kumbukumbu kwa ushindi wa Yesu kwani umauti haukumshikilia maana alifufuka siku ya tatu.
Napenda kujua hii pasaka husherehekewa kwa ajili ya jambo gani.

I'm curios. ⏰
 
Mnataka nayo muishikie bango au kuiga (ila kuiga hamuwezi kwani mitume wengine hawakufufuka!)? Christmas, Yesu alizaliwa, jamaa wakatafuta usawa, wakaita Maulid ya Mtume, matokeo yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema si halali kusherehekea maulid (bida'a), wengine wanasema ni halali (hasa wanaopenda kuiga vitu vya upande mwingine). Sasa naona hapa unataka ujue Pasaka ni nini ili uipendekeze huko, lakini bahati mbaya jamaa yenu hakufufuka!
mbona wewe unajibu kwa kupanic kama muuliza ameuliza swali lake kwa misingi ya kuponda dini wakati mleta mada ameuliza kwa misingi ya kutaka kujua maana ya sikukuu ya pasaka.Jamani tuwe tunajibiana maswali kwa lengo la kubadilishana mawazo na sio kupondana.
 
Napenda kujua hii pasaka husherehekewa kwa ajili ya jambo gani.

I'm curios. ⏰

Kuna kitu ambacho inabidi tuwe makini kutofautisha.

Pasaka=Passover (Old Testament); ni tofauti na
Pasaka=Easter;ambayo nasikitika kusema ya kuwa sio under New Testament.
 
Pasaka ni aina ya chakula kilichokuwa kinaandaliwa maalum kwa kutumia kondo na wana wa Israel kama kumbukumbu ya wao kutoka utumwani Misri! Kulikuwa na taratibu zake za kula! Mojawapo ni kula ukiwa umesimama! Mgeni hakuruhusiwa kula nk. Hivyo pasaka ni CHAKULA!
Katika agano jipya kondoo wa pasaka ni YESU KRISTO! tunakula mwili wake na kuinywa damu yake katika kukumbuka tulivyotoka katika agano la kale ambalo lilituweka chini ya sheria!

Nyie kweli wanga mnakula nyama ya mtu...
 
Hakuna sikukuu ya kikristo yenye ushaidi wa kimaandikoo....na kama ipo fungukeni kwa vifungu vya biblia.....sio polojo za mapokeo.
 
Mnataka nayo muishikie bango au kuiga (ila kuiga hamuwezi kwani mitume wengine hawakufufuka!)? Christmas, Yesu alizaliwa, jamaa wakatafuta usawa, wakaita Maulid ya Mtume, matokeo yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema si halali kusherehekea maulid (bida'a), wengine wanasema ni halali (hasa wanaopenda kuiga vitu vya upande mwingine). Sasa naona hapa unataka ujue Pasaka ni nini ili uipendekeze huko, lakini bahati mbaya jamaa yenu hakufufuka!

Au ANATAKA NA "HATI"YA PASAKA
 
How sure you are kuwa mafundisho yako siyo ya kipagani?
Mwislamu ataona yake ndiyo sahihi ya Biblia ni yakipagani and virse versa same as to Budhism. Judaism and Shinto.

katika.kitabu cha Mithali 23:23 tunasoma hivi Inunue kweli wala usiiuze.... Na Yesu pia akasema hivi mtaifahamu kweli, nayo itawaweka huru.
 
Back
Top Bottom