kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,922
Sio lazima uonyeshe upumbavu wako hadharani, rudia mada inasemaje nawe unajibu nini,utaelewa madhara ya wewe kutokuwa na ubongo kichwani. Stupid moron.Mnataka nayo muishikie bango au kuiga (ila kuiga hamuwezi kwani mitume wengine hawakufufuka!)? Christmas, Yesu alizaliwa, jamaa wakatafuta usawa, wakaita Maulid ya Mtume, matokeo yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema si halali kusherehekea maulid (bida'a), wengine wanasema ni halali (hasa wanaopenda kuiga vitu vya upande mwingine). Sasa naona hapa unataka ujue Pasaka ni nini ili uipendekeze huko, lakini bahati mbaya jamaa yenu hakufufuka!