Ubaya ni kwamba the baddest of them all amevaa ngozi ya kondoo. Yaani huwezi kumdhania wala nini. Hao uliowataja hapa wote are the good boys. Ni kama wakati tunakua, bad boy wa masaki anasokota kikaratasi anakiwasha ndo anaita fegi. Bad boy wa buguruni does drugs, afu wa kibamba ccm anavuta bhange tu.
you can say that again...
Bossman, for the umpteenth time, its a no to threesome.
mi ntajuaje sasa rafiki?
mtoa mada ndo kasema anakuogopa, sijui ndo simba mwenda pole!
Who could that be?
ha haaa, rafiki rudia kusoma tena na tena..... kwanza ni pasua kichwa, lol!Rafiki umemtilia maneno mtoa mada ππ nimerudia kusoma mabandiko yake sikuona mahali alipoandika ananiogopa. There is no need to be afraid of BAK AKA Life saver ππ Always remember that BAK is a sweet soul ππ
CC: Pacha Ablessed
BAK namkubali ...sema lazymate siku hizi haka ka "uhusiano" ketu kanayumba sana....lazima kuna mtu anatembelea nyota yangu humu
ha haaa, rafiki rudia kusoma tena na tena..... kwanza ni pasua kichwa, lol!
lakini kuna sehemu nimesoma kuwa unaogopeka rafiki......
hata life saver anaweza kuogopwa ujue
ha haaa, kwani hujamsoma alivyowaunganisha kwenye kundi la pasua vichwa? in a positive way, nadhani....Ni aje tena pasua kichwa asifiwe banaaaa!!!??? LoL!!!! Si ndio wadada wangecheza mbali na pasua kichwa? Unataka zamu yako kule pm eeh!? Let me know your availability please!!!! ππ
mi nilikuongezea baada ya kuniongezea.Hahahahahaha lol!!!! Sasa umehamia kwenye rep power, siku zote kumbuka ukitoa utapewa lakini ukiwa na mkono wa birika hupati kitu. Kwa taarifa tu ni kwamba wanaoongoza kunipa Rep power ni Mr Rocky, Dr MziziMkavu na 24hrs
hata mi naona hivoNaona muda wa kuchukua likizo ndefu ya miezi miwili au mitatu unakaribia ππ
ha haaa, kwani hujamsoma alivyowaunganisha kwenye kundi la pasua vichwa? in a positive way, nadhani....
mi siogopi PM wala nini.... nasubiri tu zamu yangu ifike
naona na xmas inakaribia....Naona muda wa kuchukua likizo ndefu ya miezi miwili au mitatu unakaribia ππ
kweli!mi nilikuongezea baada ya kuniongezea.
halafu kuna limit nini?maana ukimwongozea mtu inakuja kugoma baadaye
mi nilikuongezea baada ya kuniongezea.
halafu kuna limit nini?maana ukimwongozea mtu inakuja kugoma baadaye
ha haaa, basi rafiki nimeacha, sirudii tena......Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Naona leo umeniamkia ngoja nikipata nafasi nikutafute kwenye nanihii nikupe za uso lol!!!! ππ