Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
kuna watu wamejaliwa kutoa mawosia......
yupo sahihi kabisaaaaaaaaaaaaaaa, kwa kila neno alilolisema
kuna watu wamejaliwa kutoa mawosia......
yupo sahihi kabisaaaaaaaaaaaaaaa, kwa kila neno alilolisema
Karucee could you come here and answer this one please,
ha haaa, nilijificha PM, lol!my dada umeona enhee.....hiyo quote naipendaga miaka nenda rudi
I miss you.......
nashangaa kwa nini hakutoa wimbo wa hii mistariiiiiimno mno
ungekuwa wimbo huu ungekuwa mtamu sana
ha haaa, umeniwahi rafiki.... BAK ana nyuzi nyingi sana humu za kusifiwa..... tena zote za wadada......
usikute ndo Nyani Ngabu aliyewasema wanashinda PM........
inakuwaje wadada wanamwona ni good boy?
aje atuambie huko PM anawaambiaga nini, lol!
leo rafiki hapa huchomoki
Ushawahi kuiona rep power ya BAK?
Jamaa anatisha. Nadhani anaongoza.
Na sidhani kama ni njemba ndo humuongezea hizo rep powers. Lazima itakuwa wachuchuz.
ha haaa, nilijificha PM,[/B] lol!
nimeugua sana mdogo wangu, but nipo fine now
Ushawahi kuiona rep power ya BAK?
Jamaa anatisha. Nadhani anaongoza.
Na sidhani kama ni njemba ndo humuongezea hizo rep powers. Lazima itakuwa wachuchuz.
Hahahahahah lol!!!! sasa kama wadada wanaweza kuhitimisha hivyo kwa kusoma niandikayo kuna ubaya gani banaaaa!!!! Mie huko PM kwa kweli ni nadra sana lakini mtu akikutumia PM kutaka kujua BAK anaendeleaje humjibu lakini si kukaa huko kwa kukaa masaa chungu nzima. Kusifiwa imeshakuwa kosa!!! na kugeuzwa kuonekana the most dangerous person hahahahah lol!!!! Haya banaaaa...lakini sitabadilika BAK ndivyo alivyo!!!! au labda kipindi cha kusepa kwa long kipindi kimewadia maana kutajwatajwa namna hii ni nomaaaa midomo mengine haina heri 🙂🙂....Mzima lakini weye!?
ha haaa, nilijificha PM, lol!
nimeugua sana mdogo wangu, but nipo fine now
mi ntajuaje sasa rafiki?Mhhhhh!!!! BAK aogopwe kwa lipi banaaa hahahahaha acha hizoooo....Naona sasa kweli umepona maana haya mashambulizi yako kwangu yamezidi kipimo 🙂🙂
ha haaa, huko PM mvivuje sasa?hahaa ndo yale mambo ya kushinda PM jamvi huonekani lol,
pole sana my dada,am glad ur okay now