Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Mkuu we hushangai mbona mademu zenu wa dar wanaishia kuwa single mother tu wanaoolewa ni wale mnaowaleta mjini kutoka bush kama mabeki tatu wakikaa kidogo father house anavunja nyumba anao beki tatu wa bushi na huyo wa mjini anaachwa kuwa single mother.
Wapenda kupiga selfie kwenye mahotel, ukipiga mechi ya mchana harudi tena kwao analala hapo hotelini na kupiga mipicha na kutuma kwa wenzake nyota ing'ae sikuhiyo
