PART TWO; Sifa za wanawake wa mikoani

PART TWO; Sifa za wanawake wa mikoani

Na vipi kuhus kuvunja ndoa zenu
Sina uzoefu na ndoa... siwez kujibu hilo swali.. na hkuhusu kuvunjika kwa ndoa ni kitu cha kawaida tu since tamaa zikitawala lazim ndoa ivunjike na si kila ndoa ikivunjika chanzo ni masuala ya chumbani
 
Sina uzoefu na ndoa... siwez kujibu hilo swali.. na hkuhusu kuvunjika kwa ndoa ni kitu cha kawaida tu since tamaa zikitawala lazim ndoa ivunjike na si kila ndoa ikivunjika chanzo ni masuala ya chumbani
Sawa mkuu endelea kuzitafuna papuchi zako za dar na sisi wa mkoani tuache tuendelee kuzitafuna papuchi zetu za mkoani.
 
_Wengi ni wachafu,yaani unakuta khanga moja anaenda nayo kisimani,hiyo hiyo anaenda nayo kupikia,hiyo hiyo anaenda nayo kulala na mwanaume wake..

_wengi wao ni WABAYA,ndio maana wale wazuri wachache wakipata kihela wanatoroka vijiji vyao wanakuja DAR

_wengi wao wanaimani za kishirikina ndio maana yanawaroga waume zao wakichepuka

_wengi wao hawana UTAMU kutokana na kukosa maujuzi na elimu kunako 6x6.. mwanamke anatokea MARA.. sasa huyu anajua kukatika kiuno kweli? ndio maana hata wanaume zao wakija kupata demu wa dar anawekewa misamba na style za maajabu/maangamizi alafu wanaume haohao walivyo washamba wanasema wanawake wa dar ni Malaya,, kumbe hawajawahi kupewa vitu adimu.

_wengi wao wanamegwa wakifika miaka 12.. sasa akifika miaka 18 utakuta ana watoto 7 wamepangana kama madumu

_wengi wao wanajichubua (atakayebisha aseme nimpe fact)

_wengi wao ni walevi na wasiojishughulisha na kuingiza vipato yaani ni wa mama wa nyumbani (magolikipa)

KUNA SIFA zingine ni nzuri

_wanajua kutumikia ndoa
_wanajua kuchunga mali za familia (mifugo , mashamba n.k)
_wana nguvu na wastahimilivu wa magonjwa ya kawaida
_wanaheshima
Wanawake wa mikoani wanajua kukata viuno kitandani, ila hawafinyii ndani kama wa Dar
 
Back
Top Bottom