Utawasaidia unaowauliza kama utawawekea specifics zako, kwa mfano, unamaanisha nini (with details) unaposema "kulipa" ?
Kitu ambacho intern anaona "kinalipa" kinaweza kuwa tofauti na kitu veteran wa miaka kumi anachoona kinalipa.
Nakubaliana nawe Programming ina watu wachache lakini kwa ninavyoona tunakoelekea kunakuwa na mahitaji makubwa kwani makampuni mengi siku hizi yana ushindani wa kibiasahara sasa hapo ili kubuni product mbalimbali ndipo watu wa programming wanahitajika makampuni kama ya simu,mabenki mahoteli ,SME wote watahitaji programme ambazo ni mahususi kwao,pia siku hizi mambo ya multi media na graphics yanalipa sana bongoPrograming wataalamu wake ni wachache sana, lakini NETWORKING inalipa na ina wataalamu wengi.
Tanzania utadevelop software gani? tanzania kuna kampuni gani inatengenza software?Oky.. Kwa maana hiyo kuna haja ya kusoma programming kiasi cha kutosha...
Tanzania utadevelop software gani? tanzania kuna kampuni gani inatengenza software?
May be kama una focus kufanya kazi nchi za ulaya. Kuna kampuni chache zinatengenza program zenyewe.
Ofocurse Kuwa mtaalamu wa IT unahitaji kujua programming kiasi fulani lakini sioni future ya kazi challenging za programmer aliyebobea tanzania.
- Taisisi nyingi , makakampuni Wizara na Idara za serikali zinatumia Off shelf or commercial software
May be utalamu wa program utahitajika kufanya customisation hizi commericial software za Accouts, HR, Analysis , etc zilitongenzwa na jamaa waliotangulia mbele. ulizia taaisis kubwa kam BOT, kampuni za simu,kampuni za madini, Serikalini. Software zinazotumika none is the product of Tanzania.
- Kuna product nyingi za IT zimesshakuwa develped zinahitajika kutumika tu kurahisha maisha ya watu lakini utashangaa. Nenda Wizara ya elimu utakuta kuna miradi ya IT kibao. Lakini hakuna hata shule moja inakopy ya CD zinazo onyesha may be za practical za physics u biology. There are a lot of solution wating to be used haziitaji programmer wala engineer lakini inashangaza.
Udhaifu mwingine wa serikali haina sera kuwa program nyingine ndogo inazohitaji .ishinikize na kupendelea kuwa itazipakipaumbele kwenye tender solution zilozokuwa developed from within.
Binafsi naona part inayohitajika na ina uhaba ila sijui kama inalipa na watanzania wanajua umuhimu wake ni Information System Auditors.
Kuna system nyingi zimeazishwa kwa gharama kubwa ukifanya evalution hazina faida. Tumekuwa information Technology wirs kiasi analysi ya kutosha kabla ya kuacuire au kudevelop matumizi ya software fulani. Cost ya software nyingi na maitanance yake naamini ni kubwa kuliko faida. na Auditors wengi waliopo wengi wanjua kukagua vitabu vya mahesabu ya kihasibu tu. This is a challenge
Lakini Networking and Database kwa mtazamo wangu ni Key.
To me sisi watalamu wa IT tunaweza kuwa tuna uhaba wa Ma programmer wa kweli waliobobea . lakini uahaba au udgaifu tulionao zaidi ni Creative thinking ya kutumia already available solution kwa njia sahihi na nafuu
mkuu ushafikai muafaka kusoma nini?Maana lazima tukubali kuwa kuna wakati inatakiwa usome kulingana na mazingira ya nchi yetu..
Tanzania utadevelop software gani? tanzania kuna kampuni gani inatengenza software?
May be kama una focus kufanya kazi nchi za ulaya. Kuna kampuni chache zinatengenza program zenyewe.
Ofocurse Kuwa mtaalamu wa IT unahitaji kujua programming kiasi fulani lakini sioni future ya kazi challenging za programmer aliyebobea tanzania.
- Taisisi nyingi , makakampuni Wizara na Idara za serikali zinatumia Off shelf or commercial software
- Kuna product nyingi za IT zimesshakuwa develped zinahitajika kutumika tu kurahisha maisha ya watu lakini utashangaa. Nenda Wizara ya elimu utakuta kuna miradi ya IT kibao. Lakini hakuna hata shule moja inakopy ya CD zinazo onyesha may be za practical za physics u biology. There are a lot of solution wating to be used haziitaji programmer wala engineer lakini inashangaza.
May be utalamu wa program utahitajika kufanya customisation hizi commericial software za Accouts, HR, Analysis , etc zilitongenzwa na jamaa waliotangulia mbele. ulizia taaisis kubwa kam BOT, kampuni za simu,kampuni za madini, Serikalini. Software zinazotumika none is the product of Tanzania.
Udhaifu mwingine wa serikali haina sera kuwa program nyingine ndogo inazohitaji .ishinikize na kupendelea kuwa itazipakipaumbele kwenye tender solution zilozokuwa developed from within.
Binafsi naona part inayohitajika na ina uhaba ila sijui kama inalipa na watanzania wanajua umuhimu wake ni Information System Auditors.
Kuna system nyingi zimeazishwa kwa gharama kubwa ukifanya evalution hazina faida. Tumekuwa information Technology wierd kiasi hatufanyi analysis ya kutosha kabla ya kuacquire au kudevelop matumizi ya software fulani. Cost ya software nyingi na maitanance yake naamini ni kubwa kuliko faida. na Auditors wengi waliopo wengi wanjua kukagua vitabu vya mahesabu ya kihasibu tu. This is a challenge
Lakini Networking and Database kwa mtazamo wangu ni Key.
To me sisi watalamu wa IT tunaweza kuwa tuna uhaba wa Ma programmer wa kweli waliobobea . lakini uahaba au udhaifu tulionao zaidi ni Creative thinking ya kutumia already available solution kwa njia sahihi na nafuu
Jizatiti kwenye programing na database, soko la Developers/Programmers na Database Administrators ni kubwa na mishahara ni mizuri zaidi ya hao wa Networking.
I think we need to do a number of things (out of the long list):-The Ushahidi Platform allows anyone to gather distributed data via SMS, email or web and visualize it on a map or timeline. Our goal is to create the simplest way of aggregating information from the public for use in crisis response.
Nime furahishwa sana na majibu haya,...
Nipo chuo mwaka wa pili nachukua B.Sc in Computer science ila "KIUKWELI" kwa tulio chuo challenge kubwa kwetu ni kujua nini tu-concentrate nacho ingawa pia ni muhimu kujua mambo mengi sana ya IT!!
Help us brothers,ila napenda kujua INFORMATION SYSTEM AUDITOR ana husika na nini kwa zaidi
Tanzania utadevelop software gani? tanzania kuna kampuni gani inatengenza software?
May be kama una focus kufanya kazi nchi za ulaya. Kuna kampuni chache zinatengenza program zenyewe.
Ofocurse Kuwa mtaalamu wa IT unahitaji kujua programming kiasi fulani lakini sioni future ya kazi challenging za programmer aliyebobea tanzania.
- Taisisi nyingi , makakampuni Wizara na Idara za serikali zinatumia Off shelf or commercial software
- Kuna product nyingi za IT zimesshakuwa develped zinahitajika kutumika tu kurahisha maisha ya watu lakini utashangaa. Nenda Wizara ya elimu utakuta kuna miradi ya IT kibao. Lakini hakuna hata shule moja inakopy ya CD zinazo onyesha may be za practical za physics u biology. There are a lot of solution wating to be used haziitaji programmer wala engineer lakini inashangaza.
May be utalamu wa program utahitajika kufanya customisation hizi commericial software za Accouts, HR, Analysis , etc zilitongenzwa na jamaa waliotangulia mbele. ulizia taaisis kubwa kam BOT, kampuni za simu,kampuni za madini, Serikalini. Software zinazotumika none is the product of Tanzania.
Udhaifu mwingine wa serikali haina sera kuwa program nyingine ndogo inazohitaji .ishinikize na kupendelea kuwa itazipakipaumbele kwenye tender solution zilozokuwa developed from within.
Binafsi naona part inayohitajika na ina uhaba ila sijui kama inalipa na watanzania wanajua umuhimu wake ni Information System Auditors.
Kuna system nyingi zimeazishwa kwa gharama kubwa ukifanya evalution hazina faida. Tumekuwa information Technology wierd kiasi hatufanyi analysis ya kutosha kabla ya kuacquire au kudevelop matumizi ya software fulani. Cost ya software nyingi na maitanance yake naamini ni kubwa kuliko faida. na Auditors wengi waliopo wengi wanjua kukagua vitabu vya mahesabu ya kihasibu tu. This is a challenge
Lakini Networking and Database kwa mtazamo wangu ni Key.
To me sisi watalamu wa IT tunaweza kuwa tuna uhaba wa Ma programmer wa kweli waliobobea . lakini uahaba au udhaifu tulionao zaidi ni Creative thinking ya kutumia already available solution kwa njia sahihi na nafuu
sidhani......Wakuu Je Oracle vipi nayo inala au?
programing wataalamu wake ni wachache sana, lakini networking inalipa na ina wataalamu wengi.