Part II: Wanaume sisi bhanaaaa....

pale mama anapokula za uso hehehehe!! care muhmuhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/smile-big.gif
 
huyu kijana kwa kumwangalia harakaharaka yuko semister ya kwanza mwaka wa kwanza chuo kikuu!
Hayo mazingira ni kule dodoma!
Huyo binti ni housigeli na alikuwa ametumwa dukani kununua sukari!

umejuaje?
 
Mungu atuhurumie ila akina dada watusaidie ili wanaume tuwe strong. Wanaowafanya wanaume kuwa dhaifu ni akina dada na wanafanya hivyo kwa kujua wanaume wakiwa strong a.k.a wagumu hawataweza kuchumbia au kuwa na friends.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…