Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
hizo ndo zake dingi mmoja Buguruni mída ya night amechonga hadi stuli kwa ajili ya yale madirisha korofi ambayo yako juu zaidi.
Nimependa pozi la mshikaji, inaonesha alijiandaa wiki kwa shughuli hiyo tu
huyu kijana kwa kumwangalia harakaharaka yuko semister ya kwanza mwaka wa kwanza chuo kikuu!
Hayo mazingira ni kule dodoma!
Huyo binti ni housigeli na alikuwa ametumwa dukani kununua sukari!
Naona Bendera ya Wareno inashushwa nusu mlingoti watu waanze kuombeleza.
Hapo inatakiwa useme wanawake nao bhanaaaaaa...