Parking za Kibo Complex (Tegeta) kuna vinara wa wizi

teetotaller

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
317
Reaction score
214
Habarini wapendwa

Naandika hivi sio kwa kuchafua brand ya mtu ila wahusika wa parking za hapo kibo complex kuna jambo linajificha.

Nimeibiwa laptop na nyaraka kibao kwenye begi zikiwa ndani ya gari ambayo niliegesha pale, na kuingia kupata chakula.

Lakini nimeomba ushirikiano kutoka katika uongozi, tuangalie camera ili kupata ufumbuzi wa kupata vitu vyangu ila majibu yanakuja kuwa camera za kibo complex ni kwajili ya kuangalia mali za kibo complex sio mali za mteja.

Polisi wanasema kuwa pale kumeshakua na kesi nyingi za wizi na mhusika wa camera pale kibo complex hajawahi kutoa ushirikiano wowote.

Nimeshindwa kuelewa kuwa police wanamuogopa mhusika au kuna kitu kinajificha nyuma ya pazia???

NB. Gari haijavunjwa hata kioo, vitu vimeibwa na walinzi wanajibu jeuri.

Nimechanganyikiwa, sijui cha kufanya

asanteni
 
Roga tu hao mwizi lazima aadhibiwe kwa kila namna we leta udini tafuta fundi uone najua ntashambuliwa hapa ila nasema hivi mimi mbuzi wangu wanne tu nimepeleka kesi nnapopajua sasa hivi heshima na adabu mji mzima n.b sikuwa naamini mambo hayo lakini yakikukuta mbona utajua hujui
 
Hapo kibo ni miaka yote Kuna wizi kwenye magari sio Jana Wala Leo nadhani toka wamefungua Hilo jengo miaka hiyo hapajawahi kuacha kuwa na wizi.

It seems Kuna syndicate inayohusika ikishirikiana na walinzi wa hapo sababu watu no wengi mno ambao wamepata majanga Kama yako toka miaka hiyo palivyofunguliwa .

Sijawahi kupaki gari na wala kutamani kuingia hapo sababu ya huo wizi.
 
kuna haja ya kukuelewa kuhusu hili kiongozi,
 
PGO

"Polisi wanasema kuwa pale kumeshakua na kesi nyingi za wizi na mhusika wa camera pale kibo complex hajawahi kutoa ushirikiano wowotezwa"
 
Habarini wapendwa

Naandika hivi sio kwa kuchafua brand ya mtu ila wahusika wa parking za hapo kibo complex kuna jambo linajificha.

Nimeibiwa laptop na nyaraka kibao kwenye begi zikiwa ndani ya gari ambayo niliegesha pale, na kuingia kupata chakula.

Lakini nimeomba ushirikiano kutoka katika uongozi, tuangalie camera ili kupata ufumbuzi wa kupata vitu vyangu ila majibu yanakuja kuwa camera za kibo complex ni kwajili ya kuangalia mali za kibo complex sio mali za mteja.

Polisi wanasema kuwa pale kumeshakua na kesi nyingi za wizi na mhusika wa camera pale kibo complex hajawahi kutoa ushirikiano wowote.

Nimeshindwa kuelewa kuwa police wanamuogopa mhusika au kuna kitu kinajificha nyuma ya pazia???

NB. Gari haijavunjwa hata kioo, vitu vimeibwa na walinzi wanajibu jeuri.

Nimechanganyikiwa, sijui cha kufanya

asanteni
Eneo likishaitwa jina la kichaga kama kibo unategemea nini

USSR
 
Hapo kibo ni miaka yote Kuna wizi kwenye magari sio Jana Wala Leo nadhani toka wamefungua Hilo jengo miaka hiyo hapajawahi kuacha kuwa na wizi.

It seems Kuna syndicate inayohusika ikishirikiana na walinzi wa hapo sababu watu no wengi mno ambao wamepata majanga Kama yako toka miaka hiyo palivyofunguliwa .

Sijawahi kupaki gari na wala kutamani kuingia hapo sababu ya huo wizi.
Waavunja ? Kama hawavunji inakuaje au wanatumia uchawi
 
Siku hizi sehemu nyingi sana za biashara zenye parking wameshamaliza huo wizi wa kijinga kijinga wa kwenye magari. Hao Kibo Complex wapo dunia gani kujua sasa kwenye maendeleo ya teknolojia taarifa hasa zikiwa mbaya zinasambaa haraka sana kuwafikia watu kwa muda mfupi. Kwa kifupi huyo mmiliki ana uwezo wa kulimaliza hilo tatizo ndani ya muda mfupi iwapo kama kweli ana dhamira ya kulimaliza. Suala hapo awaondoe walinzi wote na kuajiri kampuni mpya ya ulinzi yenye walinzi waaminifu basi.
 
Back
Top Bottom