rasta got soul
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 234
- 114
Hivi hawa jamaa ambo wana charge shiling 300 kwa saa huku mjini kwa kigezo cha parking. Wana manufaa gani? Cjui nyinyi wadau. Na endapo ukigoma kualipa inakuwaje?
Hawa jamaa nilishawatolea uvivu siku moja nilipark gar nikakanyaga ule mstari wa njano eneo la kupaki wakaja funga lile chuma lao kwenye tairi eti wanataka elfu 50 sababu nimekanyaga ule mstari wa njano..Na ni asbuhi saa 3 wazembe kweli hawa jamaa na wengi wao ni wanyanyua vyuma wakakutana na mnyanyua vyuma wa zamani ilitokea patashika haswa nikabeba na lichuma lao nimelitupa uani tu...Wazembe mno na wanapenda kujaribu mtu sana hii ilinikuta nikiwa Arusha.Hivi hawa jamaa ambo wana charge shiling 300 kwa saa huku mjini kwa kigezo cha parking. Wana manufaa gani? Cjui nyinyi wadau. Na endapo ukigoma kualipa inakuwaje?
Halafu nashangaa parking siyo kwamba wanakutafutia unatafuta mwenyewe halafu ukisha park ndio unaona kimtu kinakuja kwenye kioo kinaweka voucher. WANANIUDHIIHuu ni wizi wa hali ya juu...mtu unapark juu ya tope,tena road reseive area na bado unalipia??hapa manispaa ya kinondoni
Kwani huu mradi ni wa nani?Hawa jamaa nilishawatolea uvivu siku moja nilipark gar nikakanyaga ule mstari wa njano eneo la kupaki wakaja funga lile chuma lao kwenye tairi eti wanataka elfu 50 sababu nimekanyaga ule mstari wa njano..Na ni asbuhi saa 3 wazembe kweli hawa jamaa na wengi wao ni wanyanyua vyuma wakakutana na mnyanyua vyuma wa zamani ilitokea patashika haswa nikabeba na lichuma lao nimelitupa uani tu...Wazembe mno na wanapenda kujaribu mtu sana hii ilinikuta nikiwa Arusha.