Paris Saint-Germain Special Thread

3c51cd6bb9eff4354500c53ac4ffc45f.jpg
349d562cf3d5bcb1c9391bde6721ac73.jpg
6844cf85907d5fdc8296e90c3934e2c4.jpg
35e3e39ba85d8364913d75dd3c399229.jpg
cc4b9ef755545ab1069f0cfb2b9e7b7c.jpg
6e657482ac77d0f5151544dbcd21879d.jpg
 
Paris Saint-Germain striker Kylian Mbappe has won the prestigious Golden Boy award.
The 18-year-old held off competition from Manchester City’s Gabriel Jesus and Barcelona’s Ousmane Dembele to win the prize, which salutes the best player in Europe under the age of 21.

2174384-45445090-2560-1440.jpg
 
Paris St-Germain wanamtaka beki wa Barcelona's mwenye umri wa 33 Javier Mascherano. (Diario Gol via Talksport)
 
Kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, ataitaka klabu hiyo kukataa ombi lolote kutoka kwa PSG huku mchezaji huyo wa Brazil akitafuta kujiunga na Barcelona. (Sport via Daily Mail)
 
PSG MOURA NA DI MARIA KWA £70M JANUARI


Paris Saint-Germain wapo tayari kuwauza Angel Di Maria na Lucas Moura dirisha la uhamisho wa Januari ili kupata £70 milioni, kwa mujibu wa Le 10 Sport .
Miamba hao wa Ufaransa wanataka kukidhidi vigezo vya UEFA "Financial Fair Play" na wanataka kuuza wachezaji wanaocheza chini ya kiwango
 
Mshambualiaji wa Atletico Antoine Griezmann amesema kuwa ana nia ya kuhamia Paris St-Germain. Anasema kuwa kucheza klabu moja na Neymar na pia Kylian Mbappe itakuwa ndoto. (Telefoot via the Independent)
 
Tetesi
UZA WILLIAN, NUNUA LUCAS MOURA


Chelsea watamuuza Willian Januari kwani wanataka kumsajili winga wa Paris Saint-Germain Lucas Moura majira ya baridi, le10sport limedai.
Habari zinadai kuwa mshambuliaji huyo wa Blues yupo tayari kwenda China jambo litakalomfungulia milango Lucas.
 
Nahodha wa Paris St-Germain Thiago Silva anasema kuwa amekuwa akiwasiliana mara kwa mara na kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, na anatumai mchezaji mwenza wa Brazil atajiunga na klabu hiyo.
 
Kiwango cha Paris Saint-Germain mwaka huu kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa kimezidi kifani. Na ni historia pia.
Goli la Marco Verratti mnamo dakika ya 79 dhidi ya Celtic si liliwaweka miamba hao wa Ligue 1 mbele kwa 5-1 kwenye mtanange bali pia goli la 22 katika hatua ya makundi.
Goli hilo lilivunja rekodi ya mabao 21, iliyowekwa na Borussia Dortmund mwaka jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom