Paris Saint-Germain Special Thread

PSG benefitted from some generous refereeing after Adrien Rabiot's studs-up, and late, challenge, went unpunished, and it was Lyon who kept their nerve in the first half.
 
Own-goals from Lyon's Marcelo and Jeremy Morel gave PSG a 2-0 victory on Sunday evening in Ligue 1.
 
Small team hii na isiyokua na influence financially (football sio from Qatar ) , globally,historically etc

Hata thread ndio maana ikachekewa kuanzishwa na mbaya zaid uchangiaji umekua slow
 
Small team hii na isiyokua na influence financially (football sio from Qatar ) , globally,historically etc

Hata thread ndio maana ikachekewa kuanzishwa na mbaya zaid uchangiaji umekua slow

Jana Neymar na Cavani wanagombania Penalty na Free Kick. Twitter ikamkumbusha Neymar kuwa, Cavani is not Messi, aliyekuwa radhi kuacha kufunga Hat trick ili Neymar naye afunge. Search twitter Cavani neymar uone
 
nimeona halafu ni second time wanafanya hii na bado ,Messi hadi roho yake safi ,amemkosesha sana hatrick
 
Mbappe, Cavani na Neymoney (Neymar) wapo katika kutengeneza "the Trident of their own" (MCN). Kwa usajili walioufanya msimu huu wa 2017/2018, PSG itakuwa ni miongoni mwa timu ambazo zitatazamwa kwa ukaribu sana katika Champions League na katika Ligue 1. Kwa kuwa bado timu hii haina mashabiki wa kutosha hapa Tz, si vibaya wale "plastic Fans" wanaohamia timu kutokana na majina ya wachezaji kutumia uzi huu kuwafuatilia kwa ukaribu MCN. Karibuni

Moderator

2166022-45277850-2560-1440.jpg
These front three are as good as any other team in the World.
 
Small team hii na isiyokua na influence financially (football sio from Qatar ) , globally,historically etc

Hata thread ndio maana ikachekewa kuanzishwa na mbaya zaid uchangiaji umekua slow
Team kubwa nenda Senegal,Guinea konakry,Ivory coast,Benin na nchi zingine zilizowahi tawaliwa na France ndo utaelewa kuwa PSG ina washabiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom