mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,842
Jana mbona wameelewana fresh tuTimu yenyewe hata nidhamu hakuna penalty tu wanagombania
Jana mbona wameelewana fresh tuTimu yenyewe hata nidhamu hakuna penalty tu wanagombania
Wameelewana wakati Cavan kapewa hela aache kupiga penalty kagomaJana mbona wameelewana fresh tu
Mbona jana.wote walipiga faulo.walikumbatiana.mi naona fresh.Wameelewana wakati Cavan kapewa hela aache kupiga penalty kagoma
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Naona kocha alikuwa hajawaweka sawa kuhusu nani apige penalti kati ya Cavani na Neymar.Kwa sasa everything isTimu yenyewe hata nidhamu hakuna penalty tu wanagombania
Kwanza Cavan atauzwa summer ijayo.Wameelewana wakati Cavan kapewa hela aache kupiga penalty kagoma
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nipo mimi mutu ya watuPSG haina mashabiki kabisa Tanzania...
We uliandika hapa ikiwa umelewaKama Kweli Neymar jr alikimbia kimvuli cha messi basi ajiandae kisaikolojia maana naona mbappe anakuwa star zaid yake uwanjani
Wenger si mtu !
Nimehamia PSG.kwa muda.kwa mambo Yale ya Jana.acha nije nipate raha.ila Mimi Chelsea na new castle
Kwanza Cavan atauzwa summer ijayo.
Wameelewana wakati Cavan kapewa hela aache kupiga penalty kagoma
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Umeona mbali sana wote wataenda hukoMashabiki wa arsenal naona wataanza kujifaraghua huku UEFA kupitia PSG