Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
- Thread starter
-
- #141
Chezea jimama wewe linampa mahabati kijana mama ni mwalimu wa Macron kuanzia darasani mpaka kitandani.
Brigitte Macron, ana asili ya Juif. Though ni mfaransaMyahudi? Tell the name nisome biograph yake
wanasema eti ni wataalam wa mahaba na mapishi french cuisine.Jamma alivuta teacher ake ila wafaransa wanapenda sana ngono
Brigitte Macron, ana asili ya Juif. Though ni mfaransa
Jews are opportunist sijui wangekubari kuja kuishi Uganda ingekuwaje. Sema ninahisi wangetusaidia kuendelea kidogo japo wangetutumia sana na kutuiba rasilimali piaBrigitte Macron, ana asili ya Juif. Though ni mfaransa
Hapa Mfalme wa Saudia hollidays FranceIla ufaransa waarabu wamejazana hadi kero
Jews are opportunist sijui wangekubari kuja kuishi Uganda ingekuwaje. Sema ninahisi wangetusaidia kuendelea kidogo japo wangetutumia sana na kutuiba rasilimali pia
Hata kama putin hausiki moja kwa moja lakini putin ni adui mkuu wa umoja wa ulaya amejaribu kila namna kuudhofisha na anajua kabisa na anajua kabisa ulaya iliyoungana ni hatari kwake
Kwasera ya USA ulaya ni kubaki moja bila kuvunjika ndiyo maana Obama na Trump kwa wakati tofauti wameilaumu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.
Kwa Urusi ni kuona ulaya na Nato kwa ujumla inasambaratika
Makoloni ya zamani ya France, ndo sababu wamejazanaIla ufaransa waarabu wamejazana hadi kero
Sijui kwanini walikataa ardhi yenye rutuba wakakubari kurudi jangwani huko. Au walitaka kuwa kwenye ardhi ya ma ancestors. Kagera ingelikuwa mali yao na wangekuwa wanazidi kuswaga wanasogeza mpaka kama wanavyofanya huko GazaWangekuja afrika mashariki ingeo-opeka km afrika kaskazini sema cha moto tungekiona
Hapa Mfalme wa Saudia hollidays France
Makoloni ya zamani ya France, ndo sababu wamejazana
Itakuwa maana wanapenda sana kwenda huko, sema wale watu wana ela bwana akina Salman aisee maisha yao ni ya kifahari sanaNaskia utajiri wake mwingi salman kawekeza ufaransa
Sijui kwanini walikataa ardhi yenye rutuba wakakubari kurudi jangwani huko. Au walitaka kuwa kwenye ardhi ya ma ancestors. Kagera ingelikuwa mali yao na wangekuwa wanazidi kuswaga wanasogeza mpaka kama wanavyofanya huko Gaza
Itakuwa maana wanapenda sana kwenda huko, sema wale watu wana ela bwana akina Salman aisee maisha yao ni ya kifahari sana
Hahaha labda miaka 1000 mbele, sisi tunavyowabudu watu weupe sijui huo uwezo wa vurugu tungeutoa wapi. Kwanza wangetudunda kama Wapalesna wanavyopigwa na bora waarab wabishi sisi tulivyowaoga. We wadhan Mu7 bila uoga wa waganda angekuwa madarakani?Waliangalia mbali maana baadae wangekuja kuletewa vurugu na wazawa kuwa wavamizi ...wanasema cha mtu mavi
Siyo waarabu origino hao ni wabarbaigi wengi kutoka Algeria, Maroc,Tunisia. (North Africa kwa ujumla )Waarabu origino wa kutoka Oman, Qatar, The Emirates, Saudi Arabia hao ni wastaarabu wengi wanakwenda Ufaransa kula bata tu na hela zao za wese.Wakorofi sana waarabu wa ufaransa
Hao ndo wanahela,wazungu wanasubiri. Hela ya mafuta imeshikiliwa na familia moja ya kifalme.Itakuwa maana wanapenda sana kwenda huko, sema wale watu wana ela bwana akina Salman aisee maisha yao ni ya kifahari sana
Siyo waarabu origino hao ni wabarbaigi wengi kutoka Algeria, Maroc,Tunisia. (North Africa kwa ujumla )Waarabu origino wa kutoka Oman, Qatar, The Emirates, Saudi Arabia hao ni wastaarabu wengi wanakwenda Ufaransa kula bata tu na hela zao za wese.