Naona umeamua kunipa waisfu wa mtu mwingine Mkuu.Wazo zuri ndugu nash
Huyu kijana anatuangusha kwenye siasa
wewe ni viatu vya samaki kweli, unatolea mfano nyumba ya jirani ilhali kwenu ni zaidi?Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Naona umeamua kunipa waisfu wa mtu mwingine Mkuu.
Huyu Macron ana kiburi sana na kiburi chake kisingemponza laiti angekuwa anaongoza Afrika siyo nchi kama Ufaransa. Kama atabahatika kusalimika basi hatorudi kama Hollande
UnasemajeVipi tanzania hatuwezi amua kuandama kuelekea magogoni kumtoa mkulu...
Afrika Ni Kigenge Cha Unafiki, Majungu Na Fitina!Africa sijui lini tutafikia kua na UMOJA huo. Burundi hali mbaya, Kenya kashfa za rushwa kila kukicha, Tanzania tunamuachia Zitto aongee. Nigeria tia maji tia maji, mungu saidia. Uganda nchi Rais Yoweri Museven ana HATI MILIKI kabisa. Somalia labda Yesu mtoto wa Maryam ashuke.
Tumekaa kinafiki kinafiki tu ndo maana hatuendelei.
Hata Jiwe nae hasimamii kile alicho jinadi nacho zaidi zaidi anavuruga tuuu....!Kwa huu moto sidhani kama atabaki macron hasimamii sera alizojinadi nazo
Subiri tuone
Kweli kabisaMzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Angekula mtama muda sanaNilibaki kinywa wazi pale muandamanaji alipo mpa glasi ya wine askali wote wakagonga tano nikatafakari ingekuwa bongo ???
Naijua hali halisi, hakuna cha Putin wala nini, Ninaishi France, nafanya kazi France, najua ninachokisema.Tafuta hii usome View attachment 961247
Being in the kitchen doesn't show you're a good chief cookieNaijua hali halisi, hakuna cha Putin wala nini, Ninaishi France, nafanya kazi France, najua ninachokisema.
Hii kitu ilikuwa ishaonekana toka mwezi wa tatu kuwa mambo si shwari kabisa. Na huyu Macron ana majibu kama ya jiwe mfano jibu alilompa yule mama kuwa gas na electric bills zake hazitumiwi na serikali na yale majibu aliyowapa wale waandamanaji eti tshirt zao hazimtishi kama wanataka kuvaa suti kama yake wafanye kazi.Naijua hali halisi, hakuna cha Putin wala nini, Ninaishi France, nafanya kazi France, najua ninachokisema.
But lazima utajua kinachopikwa.Being in the kitchen doesn't show you're a good chief cookie
But lazima utajua kinachopikwa.
Yule anaendeshwa na mkewe, mkewe ni Myahudi hivyo marafiki za mkewe wayahudi matajiri ndo walitoa hela kwa ajili ya kampein, ndo maana kafuta kodi iliyokuwa inakatwa kwa matajiri wakubwa, Kagonga mwamba maana nguvu ya Umma daima hushinda.Hii kitu ilikuwa ishaonekana toka mwezi wa tatu kuwa mambo si shwari kabisa. Na huyu Macron ana majibu kama ya jiwe mfano jibu alilompa yule mama kuwa gas na electric bills zake hazitumiwi na serikali na yale majibu aliyowapa wale waandamanaji eti tshirt zao hazimtishi kama wanataka kuvaa suti kama yake wafanye kazi.
Achilia mbali majibu yake juu ya yule mlinzi wake aliyeonekana anampiga mwandamanaji huku akiwa amevaa helmet na nguo za polisi wakati ni kinyume cha sheria.
Serikali yake ina wa favour sana matajiri huku mzigo mkubwa wakibebeshwa watu wa chini ilikuwa ni lazima haya yatokee wala hakuna cha Russia or USA
The fact is wafaransa wameamua kudai haki zao, wanataka kazi na bata. Mishahara ipande, kodi ya mafuta ipungunzwe. Kwa ujumla maisha yamekuwa magumu.And then whats the fact
Chezea jimama wewe linampa mahabati kijana mama ni mwalimu wa Macron kuanzia darasani mpaka kitandani.Yule anaendeshwa na mkewe, mkewe ni Myahudi hivyo marafiki za mkewe wayahudi matajiri ndo walitoa hela kwa ajili ya kampein, ndo maana kafuta kodi iliyokuwa inakatwa kwa matajiri wakubwa, Kagonga mwamba maana nguvu ya Umma daima hushinda.
The fact is wafaransa wameamua kudai haki zao, wanataka kazi na bata. Mishahara ipande, kodi ya mafuta ipungunzwe. Kwa ujumla maisha yamekuwa magumu.
Yule anaendeshwa na mkewe, mkewe ni Myahudi hivyo marafiki za mkewe wayahudi matajiri ndo walitoa hela kwa ajili ya kampein, ndo maana kafuta kodi iliyokuwa inakatwa kwa matajiri wakubwa, Kagonga mwamba maana nguvu ya Umma daima hushinda.