Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
- Thread starter
-
- #41
Putin hahusiki popote.dogo huyu mbishi sana.trump alikuwa anamshauri vizuri mpaka wakati Fulani wanagombana kutokana na sera mbovu.Sera zake za kuwa globalist zina mkost.trump marekani kwanza ndio maana marekani maisha mtelemko.wanajaribu kumchonganisha trump na wananchi lakini hawafanikiwi.
WASIMFUATE MMAREKANI KUJISHUGHULISHA NA MIVITA TU, VITA SASAIVI HAVINA MAANA, MARA WANASHAURIWA TUIPIGE SYRIA, MARA UGAIDI SJUI KUIVAMIA LYBIA, NDIO MATOKEO YAKE HAYO SASA KUPANDA KWA GHARAMA ZA LIFE, MAREKANI ANAPOVAMIA HUWAGA ANAIBA SANA ILI KUFIDIA, ALAF MAREKANI AMESHAJINDAA KITAMBO SANA, NCHI ZA ULAYA ZIWE MAKINI HAPA, NAKUMBUKA ATA ITALY ALIWAHI KUONGEA HIZI ISHU
Hivi Russia angekuwa anataka NATO kusambaratika, je. angeomba kipindi fulani huko nyuma kujiunga na umoja huo ?Kwa Urusi ni kuona ulaya na Nato kwa ujumla inasambaratika
Obama alitaka UK ibaki EU wakati Trump alitaka ijitoe.Obama na Trump kwa wakati tofauti wameilaumu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.
NDIO MADHARA YAKE HAYO, SO WATATIA AKILIWar is a profit bussness ukiangalia biashara inayoongoza duniani ni biashara ya silaha
Nchi zinazouza sana silaha duniani ni USA, Russian, china, uingereza, ujerumani nk
Sasa unafikiri vita vitaisha? Vita huleta utajiri kwa mabwenyenye
Historia inaonyesha maandamano yote makubwa ya kisiasa na mapinduzi ya kijeshi lazima CIA inahusika kwa namna moja au nyingineNa hivi anahamasisha Ulaya/Nato ijitegemee /isiitegemee USA kihiivyo usikute USA wameshafanya yao kwny hayo maandamano.
Hivi Russia angekuwa anataka NATO kusambaratika, je. angeomba kipindi fulani huko nyuma kujiunga na umoja huo ?
Obama alitaka UK ibaki EU wakati Trump alitaka ijitoe.
Donald Trump praises Britain for voting to leave EU | Daily Mail Online
-----
Mkuu unanufaikaje na kupotoshaji huu hapa Jukwaani, tena kwa kuipaka matope Russia bila kutoa ushahidi? Nini lengo lako hasa?
Aisee hii clip ipo humu "!! Niione !!?Nilibaki kinywa wazi pale muandamanaji alipo mpa glasi ya wine askali wote wakagonga tano nikatafakari ingekuwa bongo ???
Bwana macron " yamemfika yapi tena " mpaka mambo kumchachia !!?
Aisee hii clip ipo humu "!! Niione !!?
Unaogopa kuitaja nchi uliyo karibu nayo umeenda mbali Uganda??Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Aisee " kweli wenzetu hawataki masihara " huyu si ameingia madarakani juzi juzi tu " tena kwa ahadi tamu tamu za milion 50 kwa kila kijiji " mara hii wananchi wameshamchoka !!Wanasema yupo busy na global challenges wakati nchi yake inayumba kiuchumi na gharama za maisha zipo juu
Louis XVI ndio alikua Mfalme wa mwisho ufaransa, 1774-92, alitokea katika ukoo wa Bourbon Monarchs na baada ya kuhukumiwa kifo huyu mfalme ndio Ufaransa wakafanya mapinduzi mnamo mwaka 1789. Aliuliwa kwakukutwa na hatia ya UHAINI. Aliemuua alikua anaitwa Guillotine mnamo mwaka 1793.Mtu mjinga hawezi kujua haki zake sina kumbukumbu lakini katika historia ya dunia nafikiri ni uchina na ufaransa waliwahi kufanya hivyo kwa kuziondoa serkali za kidkteta
Aisee " kweli wenzetu hawataki masihara " huyu si ameingia madarakani juzi juzi tu " tena kwa ahadi tamu tamu za milion 50 kwa kila kijiji " mara hii wananchi wameshamchoka !!
Ufaransa alishiriki kumtoa Ghadafi madarakani.. Sasa ni zao yao kuonja joto la maandamano..
Aisee ...nitarudi kufuatilia update hapa asante mkuuNdio aliaminiwa na kundi kubwa la vijana ila ameonekana kuwaangusha sana
Ufaransa inapitia kwenye changamoto kubwa za uchumi asipokuwa makini ataondoka wenzetu wazungu hawana utani
Uganda kote uko. Sema hapa hapa ingekuwaje?Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Walisha jifunza uchawi mkuu wakipiga hesabu inabidi wawe walivyo ilikujilindaMbona msekwa haoneshi uzalendo
Wazee wa ccm wote hawaoneshi uzalendo
Kumbuka wazee wa Leo ndio wale waliokuwa vijana machachali wa enzi zile walifundwa kikamilifu ...... Lakini wanatia aibu!
Sio lazima kufundishwa