Vituko vya mwendazake hiviHahaha.......
Chadema Wana vituko haviishi
Ndio sababu nampongeza MajaliwaVituko vya mwendazake hivi
Kwani walijiteua?Hawa ilitakiwa baada kesi kuisha wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na kufilisiwa kabisaa
Kwani walijiteua?
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
Siku ya mwisho kila goti litapigwaHatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
sana tu, tunamshukuru Mungu kwa kumshughulikiaSijui na sitaki kujua ila yule Marehemu alikuwa moja ya binadamu wa ovyo kwenye nchi hii
Yule dhalim wa kihutu aliivuruga sana nchi yetu, ashukuriwe Mungu kwa kumfyekelea mbaliHatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
Wale ni Wabunge halali hata viongozi wa Ufipa st wanaelewaSijui na sitaki kujua ila yule Marehemu alikuwa moja ya binadamu wa ovyo kwenye nchi hii
Kwa maana nyingine hata fomu ya kutia nia kuomba hiyo nafasi hakujaza.Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
Mazuri yake mengi kuliko mabaya. Nina uhakika alikuwa na nia njema kuzuia mikutano na mambo mengine ya siasa. Japo ni ukiukwaji wa katibu. Lakini kilionekana alichofanya azuie. Maendeleo yalikuwa kwa kasi. Ona dar alivyoipendezesha kwa barabara na njia za juu. Hawa wa sasa wapo tu hakuna miundombinu ya kimaendeleo inayoendelea. Umeme ulikuwa haukatiki. Ona umeme kwa sasa tunaupata masaa ma3 Tu kwa siku tena usiku wa manane. Ona maji. Si bora yeye aliminya siasa lakini maendeleo yalikuwa yanakimbia. Hawa siasa wameminya. Tozo kibao. Kodi wanakusanya lakini hakuna wanachofanya. Wanajipigia tuSijui na sitaki kujua ila yule Marehemu alikuwa moja ya binadamu wa ovyo kwenye nchi hii
Hawa wanaojiita "guinness world records" wako na upendeleo sana, mbona kunamatukio hapa TZ yana stahili 100% kuingia huko.....Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
Hatimae Mmoja wa Wabunge Wasio na Chama Mdada Pareso amekiri kuwa Hamjui Aliyemteua kuwa Mbunge
Tafsiri yake ni kwamba
1. Hakuomba kuteuliwa na Chama chake
2. Hakuchukua Fomu na Kuijaza
3. Hakwenda Mahakamani kusaini mbele ya HAKIMU ila Akajikuta Yupo mbele ya SPIKA NDUGAI Kuapishwa.
Hiyo ndiyo KATIBA ya TANGANYIKA
Unakuwa Mbunge humjui Aliyekuteua.
View attachment 2411169
Mazuri yake mengi kuliko mabaya. Nina uhakika alikuwa na nia njema kuzuia mikutano na mambo mengine ya siasa. Japo ni ukiukwaji wa katibu. Lakini kilionekana alichofanya azuie. Maendeleo yalikuwa kwa kasi. Ona dar alivyoipendezesha kwa barabara na njia za juu. Hawa wa sasa wapo tu hakuna miundombinu ya kimaendeleo inayoendelea. Umeme ulikuwa haukatiki. Ona umeme kwa sasa tunaupata masaa ma3 Tu kwa siku tena usiku wa manane. Ona maji. Si bora yeye aliminya siasa lakini maendeleo yalikuwa yanakimbia. Hawa siasa wameminya. Tozo kibao. Kodi wanakusanya lakini hakuna wanachofanya. Wanajipigia tu
Wale ni Wabunge halali hata viongozi wa Ufipa st wanaelewa
Ubunge ulianza ndio wakavuliwa uanachama
Chadema haijawahi kuwalalamikia mahakamani