Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
59,410
119,112
Habari zenu akina baba na akina mama

Msianze kuniuliza mbona title umeandika kimalkia halafu huku unaandika kiswahili? Nimejaribu kutafuta title nimeona hiyo ndio inafit kwenye idea yangu iliyonisukuma kuanzisha uzi huu.

Well, nimekuwa nikiona haya mambo kwenye movie/ tamthiliya sasa nataka kujua kwenu wazazi kama hiki kitu ni halisi au ni mambo ya kwenye tamthiliya tu? Eti ni kweli baba/ mama unaweza kukubali kujitoa muhanga ufe badala ya mwanao?

Tukiachana na masuala ya kupigwa risasi, yanaweza kutokea mazingira ambayo mzazi unaweza kujikuta unatakiwa kuchagua nani abaki hai kati ya wewe na mwanao.... kwa mfano mtoto anahitaji kuwekewa kiungo na wewe mzazi ukimpa hicho kiungo ni hatari kwa maisha yako, can you give up your life to save your child?

Msiniambie habari ya kina mama kuhatarisha maisha yao wanapojifungua, hiyo ni natural ni lazima iwe hivyo....nazungumzia ile ya kuhiari mwenyewe

NB: Najua mnawapenda watoto wenu kuliko kitu chochote na sina shaka juu ya hilo
Uzi tayari
 
Most definitely!!!


Maana nikifikiria ikitokea kitu kibaya ambacho naweza kumuepusha nacho lakini nisifanye hivyo akatangulia mbele ya haki I would die....kwa uchungu, guilt or I would probably go insane.😕😕

So ni rahisi kujitoa muhanga tu.😔😔
 
Baby, tupate mtoto basi ili nami nijue utamu wake, na kama kweli naweza kuwa na ile feel kwamba I can take a bullet for my kid! Lakini ngoja, I can take a bullet for you baby, and if you think am kidding, try me💕💙❤️🌹!!
 
Back
Top Bottom