omujubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 4,444 Reaction score 2,703 Feb 27, 2013 Thread starter #41 kuna sehemu nilikuwa nasoma sifa ya Bukoba na maeneo ya jirani, wanasema kuwa ni sehemu pekee ambayo unaweza kuliona ziwa Victoria vizuri zaidi ya sehemu nyingine yoyote kuzunguka ziwa hilo.
kuna sehemu nilikuwa nasoma sifa ya Bukoba na maeneo ya jirani, wanasema kuwa ni sehemu pekee ambayo unaweza kuliona ziwa Victoria vizuri zaidi ya sehemu nyingine yoyote kuzunguka ziwa hilo.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 27, 2013 #42 hii ni bukoba...
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 28, 2013 #43 uko sahihi huko tunakoelekea maeneo yote ta kijani yatakua Paradiso,..........ndio tumeanza hivi........
uko sahihi huko tunakoelekea maeneo yote ta kijani yatakua Paradiso,..........ndio tumeanza hivi........
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,206 Reaction score 157,274 Feb 28, 2013 #44 Kuna majani yamenyauka. Paradiso hakuna majani yanayonyauka.