paradiso ya wapi tena hii?

Bukoba mjini apo....Hiyo picha imechukuliwa maeneo ya juu either RUgambwa oe Kibeta...infwaaaaat kwakweeli
 
Duuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!! huo ukijani unapendeza balaa, umenikumbusha nyumbani, home sweet home
 
Bukoba mjini apo....Hiyo picha imechukuliwa maeneo ya juu either RUgambwa oe Kibeta...infwaaaaat kwakweeli

Nadhani hii imechukuliwa maeneo ya Karibia na Ihungo Sekondari au Rwamishenye karibia na "achemba"...!

Anyways Bukoba kuzuri saaaaana...!
 
Duuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!! huo ukijani unapendeza balaa, umenikumbusha nyumbani, home sweet home
sio kwa sababu ya nyumbani ila ni ukweli kuwa hata ukiwepo hapo hali ya hewa ni tofauti sana. ndio maana wengine wanadhani kuwa uzuri wa sehemu ni magari mazuri na maghorofa lakini kama hii picha (just a glimpse) inavyoonyesa, ni mazingira usiyoweza kueleza ukaeleweka labda mpaka uwepo. Haijalishi kama pesa ziko mfukoni au la!

 
hapo ni Bukoba mjini, hicho kisiwa kinaitwa "musila" kama sijasahau.
Kama kuna mtu anajua zaidi kuliko jibu hilo atupe..:shut-mouth:
 
Mkuu umezaliwa Buguruni nini?

Ukizaliwa Keko, ukakulia Mbagala, Ukasoma Kinondoni na kuishi Magomeni lazima uone hiyo ni Paradiso. Kwa kifupi hujawahi ona Country Scenes za kupendeza.

Mbona hilo ni shamba tu?

Tatizo lako wewe hujawahi ona beautiful scene yoyote live ila picha tu ndo maana unamuwakia mwenzio.
 
Nakubaliana na Xuma kuwa ni Bukoba, hicho kisiwa kipo Ziwa victoria kinaitwa Msira, karibu na uwanja wa ndege.Mpigaji picha kasimama maeneo ya Rugwamba secondary huko.

Tuko pamoja mkuu hapo ni Bukoba na hilo ni ziwa Victoria na kisiwa kinachoonekana ni Musira!!! Picha hii ilipigwa wakati jua linazama magharibi!!! Panapendeza sana!!!!

Tiba
 
Nadhani hii imechukuliwa maeneo ya Karibia na Ihungo Sekondari au Rwamishenye karibia na "achemba"...!

Anyways Bukoba kuzuri saaaaana...!

Hapana picha ingechukuliwa kutoka Ihungo au "a chemba" uwanja wa ndege ungekuwa unaonekana. Kwa kuwa uwanja wa ndege hauonekani, basi picha ilipigwa kutokea sehemu za Rugambwa au Kagemu!!!!

Tiba
 
Mkuu Tiba, umenisahau?
Mimi pia nimetoa jibu kwamba hapo ni Bukoba. Ingawa inaonekana BUBE, ni mwenyeji sana Bukoba au ndo home mdau?
Napenda mazingira na hali ya hewa ya Bukoba, bila kusahau "ndizi bukoba na wale panzi waitwao "senene".
Safi sana....ama kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 
Dah!mi natamani hata hizo nyasi tu mbichi zitokezee Tabora kwetu...!Hayo mengine hata sijitamanishi...
 
Bukoba ni karibu na Ziwa Viktoria ndo maana unaona "ukijani" umetawala. Tabora, Singida, na Dodoma "ukijani" utaupata wakati wa masika, natumaini miezi hii kuna ukijani huko Tabora au vipi?
 
Bukoba ni karibu na Ziwa Viktoria ndo maana unaona "ukijani" umetawala. Tabora, Singida, na Dodoma "ukijani" utaupata wakati wa masika, natumaini miezi hii kuna ukijani huko Tabora au vipi?
kwani Tabora kipindi cha masika hakuwi kijani? Maana hapa pia miezi ya July - August mwishoni panakuwa pakavu pia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…