je, wajua kuwa hicho kinachoonekana kama 'dhahabu' ni maji?
sio rahisi kuguess maana maji yanageuka na kuwa na rangi ya dhahabu.
hapo inaleta picha ile ile kuwa watz tunaamini kuwa kila sehemu nzuri na ya kitalii ni kaskazini na hasa mlima mrefu Kilimanjaro. Nchi zingine zina less than 10% ya vivutio ukilinganisha na sisi lakini zinapata watalii zaidi yetu.Hapo ni KIRARACHA!!