Papuchi ni neno la kiswahili?

Watu wanatumia rejesta za mahali,rejesta haifati usanifu .kama umesahau maana ya rejesta mpigie simu mwalimu wako wa kiswahili kidato cha tatu.
 
Neno murua kwa nyeti ya kike jamani litajwapo kwa kweli lianaleta hamasa mubashara kiroho safi..na kama kale kaharufu kake kangekua mubashara then ingekua mwake mwake.kipapuchi,kapapuchi,lipapuchi,jipapuchi yaani fulu utaamu halafu iwe ndani ya kile kibebeo chake wengine hukiita KIKOBA.jamani acheni Mungu aitwe Mungu tu...
 
Ni namna ambayo hukuza lugha, katika lugha kuna kuazima neno, kutohoa na kuumba iwapo neno hilo litajwapo na watu wakakubali au wakaelewana maana hutumika mitaani na baadae linaingia katika maneno ya lugha husika,

Mfano:
Televisheni .......luninga
Hapo tulitohoa na baadae kuumba kutoka neno television
 
Habari wanajamvi;

Salaam JF;

Nimekuwa nakutana sana na huu msamiati "Papuchi" katika nyuzi mbali mbali hapa JF. Je hili neno ni kiswahili fasaha ? Je limetokea wapi (Origin yake ) ? Je linatambulika kama msemo unaoweza kutumika bila kukiuka masharti pindi watu wawili wanapokuwa wanaongea faragha ? Natumaini mtanisaidia sana.

Wenu katika kukuza kiswahili..
ni neno la kihindi...we huoni lilivyo kaa kihindi hindi?
 
Screenshot_20170131-112844.png

anzia hapo then mbele jiongeze
 
Habari wanajamvi;

Salaam JF;

Nimekuwa nakutana sana na huu msamiati "Papuchi" katika nyuzi mbali mbali hapa JF. Je hili neno ni kiswahili fasaha ? Je limetokea wapi (Origin yake ) ? Je linatambulika kama msemo unaoweza kutumika bila kukiuka masharti pindi watu wawili wanapokuwa wanaongea faragha ? Natumaini mtanisaidia sana.

Wenu katika kukuza kiswahili..
pampu-uchi.
 
Back
Top Bottom