Papuchi Material Vs Mizinga Material...??

Papuchi Material Vs Mizinga Material...??

Status
Not open for further replies.
Ukiwa bahili usipende demu wa maoneshoo! Nichukue mie Manka niendane na uwezo wakoo sio kutamani kina Klyn wakati uwezo huna!
Siyo ubahili Lara 1, mademu wengine ni wa kupigia picha tu.... Ni dudu baya pekee alipiga zile picha na yule demu, tena pengine maudhui ya wimbo ndo yalim'bana, nyie wengine ni wa kupigia picha tu..
 
Tatizo lenu mnapenda ready made,mpambiwe,mrembewe,mtengenezewe,mkarabatiwe mle kiulaini tu....!!!!
Nyie ndo mmezidi, ya mnataka mtongozwe kwa vogie, mkagegedwe five star hotel, shoping mpelekwe ufaransa, ukirudi ununuliwe nyumba ufukweni, starehe zako za weekend upelekwe SA.... Sasa hapo si ndo full ready made.... Ya chilimeni...??? Yaani mkiwazaga hayo, wazo la haki sawa huwa linawatoka kabisa..
 
Ukinifanya kuwa mashine, then i will be papuch material. Ukinifanya kuwa mtu then i'l make you wife material.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom