Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
Kila kukicha matatizo ya mapenzi na uzazi yanazidi ktk jamii inayo tuzunguka..
Ukichunguza utagundua kua wanaume wanaopenda ngono{papuchi material} ni tatizo,na wanawake mizigo wasio jielewa wanataka nini ktk mapenzi{mizinga material} ndio tatizo, na wanasumbua kweli kweli usiombe ukutane nao teh teh teh mbona utajuta.!!
Kila upande unalaumu wapili kwamba ndio tatizo..
Wanaume: tunalalamika kila kukicha eti kwamba hakuna wife material,wanawake wengi ni dizaini ya mizinga material.,vidundo kila siku mala ela ya kodi,mawigi ya laki mbili mbili,ela ya birthdai ya shoga yake,akiona mwenzie kavaa jinz flani nae anataka,cm ndo usiseme mala black bery za laki sita sita pasipo kuangalia kipato cha mwenzie,wakati huyo demu mwenyewe baba yake hana uo uwezo wa kumtimizia hayo maitaji,cm anayo tumia mzazi wake ni nokia ya tochi batani zimevimba utazani zina mimba..
Wanawake: hawa sasa ndio balaa tupu utawasikia aaah mwanaume suruali,mwanamke gharama,hajui kuniudumia anajua kunitumia,ana kibamia nikikohoa kinachomoka,nataka mgegedo wa haja,hanifikishi kilele na mengne mengi mengi..
Binafsi naamini hakuna aliezaliwa perfect hata siku moja,wife material na hubby materia nilazima watengenezwe tangu mwanzo wa mahusiano yenu...mwanaume ukishndwa jukumu lako la kumjenga mpenzi wako mapema uhusiano utakushinda na utasaidiwa na wenzio wenye nia ya dhati ktk mapenzi.
"mwanake lazima ujue kua umeumbwa kwa ajiri ya mwanaume,na usipo jielewa neno mume utaishia kulisikia kwa mashoga zako wanao jielewa na kujieshimu"
swali ni Jeee una dhani kua ktk dunia ya sasa huwezi mpata atakae kidhi hitaji lako la ndoa na familia.?
Je nini hupelekea wanaume kugeuka kua papuchi material badala ya hubby material na wanawake kua mizinga material badala ya wife material.?
Karibuni kwa mjadala.
Finito...