Papii kocha ni kiboko yao

Papii kocha ni kiboko yao

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
20,581
Reaction score
42,538
Nimekuwa nikisoma post mbalimbali za kuwasifia wanamuziki wenye sauti nzuri kama Bella, ommy dimpoz, diamond, Ally Kiba, Blue nk. Ila niwakumbushe kuwa kiboko ya hao wote ni PAPII KOCHA ambaya kwa bahati mbaya yuko jela. Kwa tathmini yangu hakuna anayemfikia kwa kuwa na sauti nzuri. Mungu amjalie apate msamaha na kuja kutuburudisha.
 
Kiboko yao kwa kuwabozogoa watoto wadogo. Halafu yule jamaa hayuko jela kwa bahati mbaya na kesi ya kubaka haina msamaha, kama una undugu nae mpelekee sabuni Ukonga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom