Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 651
Wadau naombeni msaada,niko na printer ya Epson px660 tangu nimeitumia mwaka haujaisha,ila hivi karibuni imekuwa na tatizo la paper jam.Ukiiwasha tu,inaleta message paper jam inside the product,wakati hakuna karatasi ndani.nimejaribu kucheki vizuri hakuna karatasi kabisa,pia kusafirisha na kuzungusha matairi ya ile tray roller,bado tatizo liko pale pele .
Naombeni ushauri wenu wadau kwani napishana na hela na mbaya zaidi hapa nilipo hakuna mafundi wa hizi printer.
Naombeni ushauri wenu wadau kwani napishana na hela na mbaya zaidi hapa nilipo hakuna mafundi wa hizi printer.