Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 651
Natafuta fundi wa printers ina ya epson px660,ndiyo ninayotumia.imenisumbua muda mrefu,hadi sasa sijapata fundi wa kunisaidia.Ina tatizo la paper jam.kama atapatikana mikoa ya dar,dodoma au hata hapa morogoro,japo nimeulizia sana sijapata,mie niko tayari kuileta,au yeye kuja;-gharama za nauli na ufundi zitakuwa juu yangu.Niko morogoro mjini hapa pande za msamvu.nitashukuru kwa ushirikiano wenu wadua.
Mhimu:Awe fundi wa uhakika aliyekwisha kutana na printers kam hizi na tatizo kama hili la kwangu na mwenye uzoefu wa kutosha.
Kwa mawasiliano: piga simu no. 0717 393339 utanipata.
JF;TOGETHER WE CAN
Mhimu:Awe fundi wa uhakika aliyekwisha kutana na printers kam hizi na tatizo kama hili la kwangu na mwenye uzoefu wa kutosha.
Kwa mawasiliano: piga simu no. 0717 393339 utanipata.
JF;TOGETHER WE CAN