Papaa Msofe ni tapeli mmoja maarufu sana ndani ya jiji la Dar na vitongoji vyake. Kimsingi dola ya Tanzania kaiweka viganjani mwake.
Mihuri ya Ikulu na wizara mbalimbali kwake utapata...na akishakufanyia utapeli,nenda kashitaki popote wala hutapata haki maana ni mmoja kati ya wale watanzania wachache walio juu ya sheria