Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Staili hiyo inanikumbusha jamaa mmoja alikuwa anaitwa saba sita...sijui yuko wapi huyu mtu
Ndiyo huyo mkuu sijui jamaa yuko wapi....Kuna kipindi nilimuona Arusha ila sijui kwa sasa alikuwa anambwembwe sana na alikuwa mtundu wa kuendesha pikipiki mnoooHilo jina kama nalikumbuka hivi kuna jamaa alikuwa anaitwa jina kama hilo alikuwa FFU, BUKOBA!!! tena yeye alikuwa anavaa na suspenders kabisa.
Ndiyo huyo mkuu sijui jamaa yuko wapi....Kuna kipindi nilimuona Arusha ila sijui kwa sasa alikuwa anambwembwe sana na alikuwa mtundu wa kuendesha pikipiki mnooo