Yule mama ambae mume wake aliuawa na kina Msofe na Massawe na baadae wakamdhulumu nyumba sijui atajisikiaje..Kesi ilivurugwa makusudi na aliyekuwa RPC wa Kinondoni wakati huo.Aisee!
Unajua hakimu wa kweli ni Mungu..na siku yake haikwepeki.
Kiswahili ni lugha yangu ya tatu so inawezekana nimekosea kuandika...nipo tayari kurekebishwa mkuu
Nchi imeoza,rushwa Kila mahali..
Mtuhumiwa alikuwa na kesi ya mauaji na sasa imebadilishwa na kuwa kesi ya kugushi(kufoji) taratibu za dhamana zilikuwa zikiendeleaweka sawa sasa habari yako mtuhumiwa alikuwa na kesi gani amebadilishiwa kesi na kupewa kesi taratibu za dhamana zilikuwa vipi
Mtuhumiwa alikuwa na kesi ya mauaji na sasa imebadilishwa na kuwa kesi ya kugushi(kufoji) taratibu za dhamana zilikuwa zikiendelea