Papaa Msofe naye yamkuta. Afikishwa Mahakamani akituhumiwa na makosa matano likiwemo ya Utakatishaji fedha

Huyo muhingo rweyemamu ana udugu na yule aliekua msigwa wa JK au kuna kadoti nmeunga
Mzee wake huyo ila Alishavuta
Aliongozaga halmashsuri moja hvi
Mtoto wake ndy wakili

Ova
 
Mzee wake huyo ila Alishavuta
Aliongozaga halmashsuri moja hvi
Mtoto wake ndy wakili

Ova
Mkuu tafuta yule mwandishi alieshikia bango uuzaji wa nyumba za serikali ambae naskia Leo huyo muuzaji ni mkubwa tu then utaona dogo kayakanyaga
 
Alvin A.,

Ni aibu kwa wakili wa Serikali kusaini charging sheet ambayo ina makosa yasiyohitaji juhudi yoyote kuyaona. 5th count imetaja kiasi cha pesa (TZS) kwa tarakimu na kwa maneno, lakini vitu hivyo viwili havioani wala havikaribii kuoana!
 
huyu Papaa Msofe alikuwa anagombea demu na mtoto wa Kikwete, baada ya kufungwa jela, yule dem akaolewa na mtoto wa Kikwete, kiburi cha pesa za utapeli kilimponza
 
Alvin A.,
ah kumbe ni yale maghumashi yao ya kuuza chupa za bia na kudanganya ni dhahabu?
wacha watundikwe tu, ila kuna plea bargaining, so watalipa, ila huyu wakili ndio sijui kama alipata mgao wa kutosha kulipa hiyo bargaoning.

Mawakili wamekuwa njaa sana, kila mwaka mawakili 500 wanaingia sokoni huku hakuna ajira, serikali haina hela, baba kashindwa kabisa na mahakama hazina mahakimu, inabidi mawakili wajiingize kwenye magenge ya wezi
 
Itapendeza

Ova
 
Huyo muhingo rweyemamu ana udugu na yule aliekua msigwa wa JK au kuna kadoti nmeunga
Muhingo Rweyemamu amefariki kitambo, we unachanganya na Salva Rweyemamu, japo Muhingo na Salva wote walikua team Jk, Muhingo alifariki akiwa ametemwa na JPM ukuu wa Wilaya! Salva alidondoka nafasi ya DPC..ya msigwa wa Sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…