Papaa Msofe naye yamkuta. Afikishwa Mahakamani akituhumiwa na makosa matano likiwemo ya Utakatishaji fedha

MPWAAA ALICHOKAA MBAYA AKASHAURIWA AKAPUMZIKE KWA MDA NJE NAHISI AMERUDI NA NGUVU MPYA WKAMCHOMA
Mpwa kna siku nlimkuta pale 777 alikuwa syo yule msofe alikuwa mnyonge fulani nakutana naye tena kwenye msiba wa A. Kilinda mbwembwe zake zile skuziona
Naona alitaka kurudi kwenye game, Sahv utampiga Nani
Wenzake wengi wamehamia kwa m7 hko

Ova
 
Papa Msofe na wenzake kortini wakidaiwa utakatishaji fedha



Mfanyabiashara, Marijan Msofe, maarufu kama ‘Papa Msofe’ na wenzake wanne, wamefikishwa katika
Katika maabara kuu ya taifa, hata hivyo mkemia mkuu kasema yupo busy hawezi kuwasikiliza ana practicals muhimu
 
Jina la Joseph Haule lina utata? Kuna Joseph Haule wengi na kama angekusudiwa huyo unayemfikiria wewe basi ndiyo kungekuwa na ulazima wa kuongezea ni fulani. Otherwise ametaja vizuri na hakutakiwa aongeze chochote.
Zile W6 zinamisingi yake, ili habari isilete makona kona ndio mana unatakiwa ku clear ambiguity za aina yeyote katika habari.

Uandishi wa namna hii huwa wa udaku tu. By the way kwanza na jina lenyewe inaonekana alikusudia kuleta ambiguity kwakua hati ya Mashitaka inasoma Josephine Haule na sio Joseph Haule hivyo mwandishi huyu inaonekana Ni miongoni mwa wale MAKANJANJA.
 
Vp ray hpo regency htl yupo
Regency pale nlimpelekaga mgeni wangu mmoja
DAH kuingia ntakakuta wa tundu wa master crd KY..... Mhh mmja namjua kindakindaki kuwa magumashi hpo hpo nkamfaulisha mgeni wangu wasije wakamumiza

Ova
WALIKUWA NA NYOTA YA MAMAJUSI WAKITAKA MZIGO BILA UOGA WANAMTUMA MTU KAMWITE YULE DOOOH...PALE REGENCY MPWA NIMEENDA MAJUZI NAPITA NKAOGOPA HATA KUINGIA NDAN DAH MAISHA MAPITO MPWAA
 
Katunzi nlikutana naye kwenye harusi moja mtoto wa mmiliki ya tusime alikuwa anaolewa
Basi si misifa mule Ndani unawajua wahay tens
Wahudumu walikuwa Hawa bongo movie sjui Ray eezekiel etc mpwaaaa nlipiga pombeeee mpk macho yalipoteza directionnnn
Kutoka nkatoka na mpungaaa piaaa wa kuamkia kesho yke
Katunz alikuwa kavimbaaa tu

Ova
HATA BAR SIJUI KAMA ANAKAA KATUNZI OOH KUSOMA NYAKATI MPWA NAWAKUMBUKA UKIWAONA UNAWAZA UNAFIKA SALAMA AMA MZIGO WAKO UTAPONA KWELII DAH
 
Kila dili chafu lazima wanasheria wanahusishwa
Wazee wa kutengeneza dokomaaaa
Huyu mwesigwa syo wa maxim advct Kweli....
Ngoja niishie hapa

Ova
Huyo muhingo rweyemamu ana udugu na yule aliekua msigwa wa JK au kuna kadoti nmeunga
 
Back
Top Bottom