Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa

Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa

Hyo mia tatu(300) analamba mjane na hao ngamia wanailipa mahakama 36m kama ada ya kuendesha kesi yaani ingekuwa amri yangu hao jamaa wamekatisha uhai wa wengi kwa utajiri wao wa kihanatha ningewachinja kama kuku
Watu wabaya sana. Hivi Masawe si inasemekana alikuwa anatafutwa, alishapatikana?
 
At least.... Ila Mungu amlinde tu huyo Mama,maana hao ni watu hatari kudeal nayo,ngekuwa mie ngeshawaachia tu Mungu mgawaji wa vyote angenijalia nyingine tu.

Wasiwasi wangu ni hao jamaa wana mpango gani na huyo baada ya kushinda kesi na wao kumlipa 300M?!
Sidhani kama watamuacha,na ikitokea wakamfanyia lolote hata wakishtakiwa tayari huyo mama kashadhurika haitakuwa na faida maana uhai huwa haurudi mara mbili.

Ushauri wangu kwa wajane na yatima hata utapeli wa mirathi ukitokea ni kumuomba Mungu ndo apigane upande wake/kiroho kuliko kushindana kimwili.
 
Hawatamdhuru maana jamii nzima inajua kila kitu . Ingekuwa kumdhuru wangemdhuru wakat kesi inaendelea na wakati nchi inaendeshwa na dhaifu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wamewezekana?? Nadhan bado, watu wengi waliunizwa sana na Msoffe na Massawe. Waliishi juu ya sheria muda mrefu. Kwa sasa Alex anakula maisha arabuni.
Alex Carlos ni wa kunyonga kabisa. Kwa udhulmanti ni kiboko! Kibosho handsome wa mjini.
 
Watu wabaya sana. Hivi Masawe si inasemekana alikuwa anatafutwa, alishapatikana?
Serikali bado inamogopa naona maana huyu ni mfadhili wao mkubwa kwenye mambo ya siasa.

Mwaka 2006 nilibahatika kuzungumza nae ofisini kwake kinondoni studio kuta za ofisi hiyo kuna picha mbalimbali amepiga na Marais na wakuu wa nchi hii.

Mtu kama huyu ni ngumu kumkuta na hatia ingawa ni MHALIFU!!!!! Apigwi pingu huyu.
 
Huyu mama anajua muuaji wa mumewe!
Kama mtakumbuka huyu mama aliwahi kwenda mpaka kwa waziri mkuu pinda kulilia haki yake pinda amsaidie.
Na habari hii iliporushwa na Itv Hayo manyamera yalisarrender!!

Marehemu kituly aliwahikufungua kesi ya kutishiwa maisha
Kabla hajalambwa shaba.
 
Kah!! Ni makongoro huyuhuyu wa Mpira wa chandimu alikuwa anautaka urais,!!???
Tamaa zitatuua.
 
Hata hivyo uchunguzi wa kina ufanyike, marehemu aliuwawaje!? katika mazingira gani?
 
Pole sana Mama Mtuly,hatimaye umepata haki yako kaa mbali na hao matapeli kina Msofe,Alex Masawe na Makongoro Nyerere ni watu hatari sana.
 
Back
Top Bottom