PAPA: Sijaruhusu ndoa za jinsia moja ila kubariki vitu vyao kama magari, Nyumba, Mashamba ni ruksa Misingi hii ya Kanisa Katoliki iliwekwa na Mungu

Kwa kusoma comments hizi, nimejiridhisha bado Kuna wajinga wengi sana duniani, "low Iqs" wa kushanto.... Kuna watu ni mashiga lkn wanamiliki school bus inayobeba WANAFUNZI, ikibarikiwa Kuna shida Gani?
🤣🤣🤣🤣😂😂

Nacheka sana
 
Sio kwa maana hiyo ndugu,hebu Acha kuhalalisha ujinga.
Kasome maandiko vizuri juu ya kuwakiana tamaa.wanaume kuacha matumizi ya viungo halali vya wanawake
Kwahiyo shoga hastahili wokovu hata kama amedhamiria kuacha dhambi yake ya ushoga?
 
Mbona Eliya aliwachinja wale manabii hakuwaacha!!!Shetani anabarikiwa Kanisani???
Matayo 13:24-46
24 Yesu akawaambia mfano mwingine, akasema, “Ufalme wa mbi nguni unaweza kufananishwa na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake. 25 Lakini watu walipokuwa wamelala, adui yake aka ja akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. 26 Ngano ilipoota na kuzaa, magugu nayo yakachipua.

27 “Watumishi wa yule mwenye shamba wakamwendea, wakamwul iza, ‘Bwana, si ulipanda mbegu nzuri shambani mwako? Imekuwaje kuna magugu?’ 28 Akawajibu, ‘Adui ndiye amefanya jambo hili’. Wale watumishi wakamwuliza, ‘Sasa unataka tukayang’oe?’ 29 Lakini akasema, ‘Hapana msiyang’oe, kwa maana huenda katika kung’oa magugu mkang’oa na ngano pia. 30 Acheni ngano na magugu yakue pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavu naji wayang’oe magugu kwanza wayafunge katika mafurushi tayari kwa kuchomwa moto, lakini wavune ngano na kuikusanya ghalani mwangu.’ ”
 
Mungu atakubariki endapo utamtii,na kuzishika amri zake.
Na anayejua dhambi zote ni Mungu tu kwa mara chache na mtendaji wa hiyo dhambi. Wengine tunabaki kujua sehemu ndogo sana ya dhambi za wengine. Hivyo ni jukumu letu kwarudisha pale tunapoona wamehaibika na siyo kuwatenga
 
View attachment 2847833
View attachment 2847851View attachment 2847852View attachment 2847859View attachment 2847861View attachment 2847866View attachment 2847867View attachment 2847902View attachment 2847903View attachment 2847906
Hiki ndicho alichokisema Baba Mtakatifu Francesco ambaye ndiye Kiongozi Mkuu wa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume Duniani,

Nimejipa muda wa kutosha nimeupitia waraka huu Mtakatifu nukta kwa nukta neno kwa neno mstari kwa mstari sijaona sehemu Ushoga na Usagaji vimeruhusiwa na kiongozi huyu wa juu kabisa wa Kanisa.

Katika waraka huu zaidi sana nimeona nafuu waliyopewa hawa mashoga wamepata neema kwa vitu vyao kubarikiwa mfano wa vitu hivyo ni kama kiwanja, Nyumba, gari au vinginevyo ila si ndoa Takatifu,

Tunakubaliana wote kuwa Gari la shoga haliwezi kuwa ni gari shoga au shule ya Shoga haiwezi kuwa ni shule shoga ila mmiliki,

Ushoga ni baina ya mtu na mtu mfano mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke na si kitu na kitu.

Kwakuwa tunaishi kwenye nyakati za mwisho watu wanatamani Kanisa liidhinishe dhambi zao mbele za Mungu.

Lazima tufahamu kuwa, Hata kama Kanisa au misikiti itaruhusu Ushoga dhambi hii bado iko palepale, na ni motoni moja kwa Moja bila mjadala.


Mungu lilinde na kuliinua Kanisa Katoliki Duniani, kote
Marekani wameashanza kubariki mashoga unajifanya kipofu hili karatasi laki kafungue mandazi
 
Imani yangu ni kuwa IMANI IPO NDANI YA MTU KATIKA KUMWAMINI MUNGU.. kanisa, padre, mchungaji nk. naona hawana hatma ya uhusiano wangu na Mungu wangu..
nashukuru wameleta ukristu nikautambua mambo mengine ni yao na ushetani wao
 
Teteetehhh Papa kawaruhusu hata Waislam wa Pwani na Zanzibar kutifuana Mitaro tu. Teteteeeeee. Hivi shehe wangu katika Hadith Idadi 16,245 ambapo Muddy(56) aliunyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al Hassani mwana wa Ali alimaanisha nini Muddy boy?
Huo uongo na uzandiki umeutoa wapi??
QUR'AN inapinga ushoga na hukumu yake ni kifo.
Hata Muhammad(s.a.w) alituongoza kwa Qur'an.Chochote kitachosemwa nje na kitabu ni uongo.
Tafuta uongo mwingine wa kumpakazia mtume.
Hao wazanzibar ni hurka yao wala usiwanasibishe na dini.
 
Huo uongo na uzandiki umeutoa wapi??
QUR'AN inapinga ushoga na hukumu yake ni kifo.
Hata Muhammad(s.a.w) alituongoza kwa Qur'an.Chochote kitachosemwa nje na kitabu ni uongo.
Tafuta uongo mwingine wa kumpakazia mtume.
Hao wazanzibar ni hurka yao wala usiwanasibishe na dini.
Kwahiyo bwana kashoga unazikataa hadith leo?
 
Achana na huyo shoga, kwanini hawanyooshi maelezo hadi yanawasumbua wakatoliki kuelewa na kila mmoja anakuja na tafsiri yake?
Kuna tatizo linahalalishwa hapo.
Nakubaliana kuwa kuna kitu kimeshahalalishwa. Lakini swali langu hivi msingi wa uhalalishaji wa mambo kwenye hii dunia huwa una basis gani? Namaanisha ni nani anasema hiking ni haramu na hiki siyo haramu
 
Wabarikiwe mmoja mmoja, hata wakija kundi. Ni mmoja mmoja.
 
Imani yangu ni kuwa IMANI IPO NDANI YA MTU KATIKA KUMWAMINI MUNGU.. kanisa, padre, mchungaji nk. naona hawana hatma ya uhusiano wangu na Mungu wangu..
nashukuru wameleta ukristu nikautambua mambo mengine ni yao na ushetani wao
Kila mtu atabeba kifurushi chake!!!
 
Back
Top Bottom